nijothemaster;
Nikikuuliza kwa nini mungu kafanya hivi na si vile, ukijibu ni maamuzi yake, hujajibu swali na wala hujalielewa.
Swali langu si kafanya hivyo kwa maamuzi ya nani. Mnasema kaumba kwa maamuzi yake, hilo sijaliboji.
Ninachouliza ni, kwa nini kafanya hivyo?
Kama unamuelewa mungu utajua sababu zake na kiweza kunielezea.
Ukiahindwa kujielezea sababu zake humuelewi.
Na kama unamkubali mungu usiyemuelewa, una uwezekano mkubwa sana wa kimkubali mungu ambaye hayupo.
kiranga, sababu yaye kuumba ulimwengu huu na sababu aliyotaka tuijue na tuitambua...ni kwasababu yy anataka kiumbe alichokiumba kimuabudu,na kimtegemee yy peke yake na sio kitu kingine...
ukiachiliambali mabaya yaliyopo, mwenyezi MUNGU,aliua(waisrael) alio waokoa yy mwenyewe kule jangwani..ili pia unapaswa uhoji kiranga kama ana upendo kwann aliwaua watu wake......ukifanya uchunguzi utagundua unarudi palepale ilijina lake liabudiwe na kutukuzwa(hakupenda lawama zao kule jangwani nakumuamrisha awqfanyie vile wanavotaka)
aliwapeleka wamisri utumwani na akawaokoa tena...ili pia unapaswa uhoji kiranga kwann anafanya mambo kimakusudi kamaanaupendo kwann asiwaache tu waishi kimpango wao kwa raha zao....ukichunguza hili pia utagundua ni sababu jina lake liabudiwe na litukuzwe...
leo hii karuhusu majambazi,magaidi,vimbunga,tsunami,magonjwa,taabu shida viwepo duniani...ili pia unapaswa uhoji kiranga kama kweli anauwezo na upendo kwann aruhusu haya yote yatokee kwann asiyazuwie yatoweke hapa duniani au asinge yaumba kabisa akamwacha binadamu aishi kimpango wake kwa rahaa zake....ukichunguza utaona sababu ni ileile ilikusudi jina lake liabudiwe na litukuzwe,..nilazima akuweke kwenye hofu ili umuabudu na utambue kua yy ndo muumba wako.....
BADO SIJAJIBU SWALI LAKO LA SABABU YA MABAYA HAYA DUNIANI......ngoja niendelee kidogo hapa
kiranga waweza kusema ukiacha hayo yote..kwanini basi aliamua kutuumba na mabaya haya wakati hata angeweza tu kuumba dunia nzuri hata uwezo wakumkataza nyoka yule asimdanganye binadamu...
hapo sasa ndipo unapo enda beyond ya uwezo wake unaanza sasa kumfikiria wakati pale anaamua hiki kiwehivi hiki kiwe hivi kwann tu asifanye kingekua hivi kingekua hivi....hiki ndo kitu ambacho hapendi MUNGU wangu naameangamiza wengi na ataangamiza wengi kwaajili ya hii dhambi...
yani nisawa nakujifanya kua ww ungekuwa na uwezo ungetengeneza bonge moja la dunia lenye rahaa tele na bata za kutosha.....
hicho nikitu ambacho hatukijui sababu iliyo mfanya aumbe binadamu mwenye miguu miwili,binadamu mwenye tumbo,binadamu hasiye na mabawa,binadamu mwenye ubongo,dunia ya duara,mwanga kutoka kwenye jua,mawe,mchanga,miti....hivi ni vitu ambavyo hatujui kwann viwe hivo na si kwa style nyingine....kwann kuna sayar zingine empty kwann....nivituambavyo hatujui sababu yake...
lkn kwakutojua sababu hizo haimaanishi,simuelewi MUNGU, kwani nimeweza kukuelezea sababu zile juu kabisa kulingana na imani....siamini kama ww unazijua sababu hizo za mwisho hapo...lkn je ulikua unazijua sababu za mwanzo kabisa hapo juu?....
SASA UNAANZA KUELEWA UELEWA WAKO UKO VIPI..SITEGEMEI SWALI TENA LA SABABU YA MABAYA......UTHIBITISHO KAMA KWELI YUPO NILISHA UELEZEA SANA...LKN NAVYO VINAENDANA NA ZILE SABABU........
ahsante.....