Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Kiranga. Ukitizama ndani ya Maswali yako, utaona unachofanya ni kutengeneza Argument ya uwepo ama kutokuwepo kwa Mungu kwa kutizama mabaya tuu, bila kutizama mema, yaan naona kama unaweka limits katika reasoning Capacity yako...
Turudi kwenye Swali, Majibu naona yapo very Open, kitendo cha kulipa jina tetemeko maana yake wanalijua, kwa hiyo wanajua ni kwa namna gani wanaweza liepuka... Hiki ndicho nasema... Both sides are Open, you decide after Learning.
Hivi Mwanao akikuuliza kwanini Ulimzaa Wakiume utamjibu vipi?
Mungu alipokuwa anaumba ulimqengu alikuwa na uwezo wa kufanya kusiwe na matetemeko ya ardhi yatakayoua watoto wasio na hatia au hajuwa na uwezo huo?
Mtoto kumuuliza baba kwa nini kamzaa wa kiyme so sawa na maswali yangu kuhusu mungu wenu.
Baba hana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote.
Mungu wenu ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote.
Baba anaweza kujibu kwamba yeye alikuwa hana uwezo wa kuchagua mtoto azaliwe wa jinsia gani.
Mungu nikimuuliza kwa nini kaumba ulimwengu wenye matetemeko ya ardhi yanayoua watoto wasio na hatia atajibu vipi?
Atajibu hakuwa na uwezo wa kuchagua kuumba ulimwengu ambao hauna matetemeko ya ardhi yanayoua mpaka watoto wasio na hatia?