Tetesi: Col Joseph Karegire wa Jeshi la Rwanda auawa huko DRC Congo

Tuseme na ule ukweli mchungu Askari wetu hawakuwa walinda amani bali walikwenda kupigana na Waasi na kwenye Vita ni ua nikuue.

..tangu Kagame ameingia madarakani ameishazozana Raisi, na kuua askari, wa kila nchi jirani na Rwanda.

..huenda matatizo na migogoro katika eneo la maziwa makuu chanzo chake ni Rais Kagame.
 
Habari za hivi punde ni kuuwawa kwa kiongozi wa mapambo wa jeshi la Rwanda nchi Congo.

Majeshi ya Rwanda yapo nchini Congo yakisaidiana na majeshi ya M23.

Mara kadhaa Paul Kagame amekuwa akikanusha kuhusika kwa nchi yake katika machafuko nchini Congo.

Kufuatia kifo cha Col Joseph Karegire ambaye alikuwa kiongozi mkuu wa operesheni nchini Congo sasa ni wazi tena pasipo shaka kabisa Jeshi la Rwanda limekuwa likishirikiana na M23 bega kwa bega.
Weka picha na chanzo cha habari!
 
Ni FDLR si FLDR! Kirefu chake kwa Kiingereza ni Democratic Forces for the Liberation of Rwanda. Kwa Kifaransa ni Forces Démocratiques pour la Libération du Rwanda (FDLR).
Hiyo "Pour" kwenye tafasri ya French umeiweka kwa ajili ya nini?
 
Mpaka wa DRC na Rwanda upande wa mashariki ya kongo ni mrefu sana na wananchi wa kawaida wanaingiliana sana.
Ila siasa na viongozi wenye misimamo ya hovyo wana liaribu sana eneo lile na kutengeneza chuki zisizo na sababu.
Yaani mtu wa upande wa Rwanda anaweza kuja Goma akapiga bia zake na kurudi Rwanda bila shida ni pua na mdomo.
Jamii za kawaida za eneo la mpaka wa pande mbili hazina tatizo ila Wakubwa wa Nchi wamelazimisha Wananchi wa kawaida wawe na Chuki baina yao.
 
..tangu Kagame ameingia madarakani ameishazozana Raisi, na kuua askari, wa kila nchi jirani na Rwanda.

..huenda matatizo na migogoro katika eneo la maziwa makuu chanzo chake ni Rais Kagame.
Kagame ni "Mr Security" wa Rwanda ni kama Netanyahu ukigusa watu wake umemgusa yeye na trust me nimekaa Rwanda ya Habyarimana na ya Kagame mimi ni Dereva wa Gari la Mizigo nimekaa Rwanda na nakwambia Rwanda kuna usalama wa hali ya juu sana, tofauti na Nchi ZOTE za Afrika ya Mashariki.
 
Sasa mbona anaiharibu Congo ?
 
Kagame ni "Mr Security" wa Rwanda ni kama Netanyahu ukigusa watu wake umemgusa yeye na trust me nimekaa Rwanda ya Habyarimana na ya Kagame mimi ni Dereva wa Gari la Mizigo nimekaa Rwanda na nakwambia Rwanda kuna usalama wa hali ya juu sana, tofauti na Nchi ZOTE za Afrika ya Mashariki.

..napenda maendeleo na nidhamu iliyoko Rwanda chini ya uongozi wa Kagame.

..nisichokipenda ni DAMU ambayo Kagame amemwaga ktk nchi majirani na Rwanda.

..millioni 6+ waliokufa DRC ni binadamu, na ni lazima tulaani mauaji yao.
 
millioni 6+ waliokufa DRC ni binadamu, na ni lazima tulaani mauaji yao.
Kongo ndio iliyoanza kuingilia mogogoro wa Rwanda kwa kutuma Majeshi kumsaidia Habyarimana alichofanya Kagame ni kupeleka vita Kongo.
 
..watu wengi walifurahi kuondolewa kwa Mobutu.

..hata SADC waliwaunga mkono Rwanda na Banyamulenge katika harakati zao za kumpindua Mobutu.

..Rwanda ilikuja kukengeuka baada ya kufika Kinshasa.

..Kilichofuatia baada ya hapo ni unyama na ukatili usio na mfano dhidi ya watu wa DRC, na nchi nyingine majirani.

..Rwanda ni lazima waambiwe ukweli kwamba mauaji wanayoyafanya dhidi ya majirani zao yanapaswa kukoma.
 
Rwanda ni lazima waambiwe ukweli kwamba mauaji wanayoyafanya dhidi ya majirani zao yanapaswa kukoma.
Wakati General Mahelle alipokuwa akiuwa Wanyarwanda wenye asili ya Kitutsi hadi kupelekea Genocide hizo zilikuwa ni roho za watu.
 
..genocide dhidi ya Watusi ilikuwa ni jambo baya na wote waliohusika walaaniwe.

..maisha ya Wacongomani yathaminiwe na kulindwa kama vile tunavyofanya kwa Wanyarwanda.

..kuwa na uchungu na Watutsi millioni 1 waliouawa ktk genocide, huku tukifumbia macho, au kuwezesha mauaji ya Wacongo million 6+ ni unafiki uliozidi kiwango.
 
😂😂Watusi hao vichwa ngumu, hawaelewagi chochote wakishaanza kumwaga damu za watu🫡🫡.
 
Kagame ni "Mr Security" wa Rwanda ni kama Netanyahu ukigusa watu wake umemgusa yeye na trust me nimekaa Rwanda ya Habyarimana na ya Kagame mimi ni Dereva wa Gari la Mizigo nimekaa Rwanda na nakwambia Rwanda kuna usalama wa hali ya juu sana, tofauti na Nchi ZOTE za Afrika ya Mashariki.
Ingekuwa vyema huo usalama wa Rwanda, wanyarwanda wawatakie na majirani zao, na si kuvuka mipaka kwenda kuvuruga kwa majirani zao.
 
Back
Top Bottom