Tuseme na ule ukweli mchungu Askari wetu hawakuwa walinda amani bali walikwenda kupigana na Waasi na kwenye Vita ni ua nikuue.
bila shaka alienda kunywa chai si unajua pale ni kama chumba na seble tuAlienda kufanya nini DRC?
Weka picha na chanzo cha habari!Habari za hivi punde ni kuuwawa kwa kiongozi wa mapambo wa jeshi la Rwanda nchi Congo.
Majeshi ya Rwanda yapo nchini Congo yakisaidiana na majeshi ya M23.
Mara kadhaa Paul Kagame amekuwa akikanusha kuhusika kwa nchi yake katika machafuko nchini Congo.
Kufuatia kifo cha Col Joseph Karegire ambaye alikuwa kiongozi mkuu wa operesheni nchini Congo sasa ni wazi tena pasipo shaka kabisa Jeshi la Rwanda limekuwa likishirikiana na M23 bega kwa bega.
Hiyo "Pour" kwenye tafasri ya French umeiweka kwa ajili ya nini?Ni FDLR si FLDR! Kirefu chake kwa Kiingereza ni Democratic Forces for the Liberation of Rwanda. Kwa Kifaransa ni Forces Démocratiques pour la Libération du Rwanda (FDLR).
Kagame ni "Mr Security" wa Rwanda ni kama Netanyahu ukigusa watu wake umemgusa yeye na trust me nimekaa Rwanda ya Habyarimana na ya Kagame mimi ni Dereva wa Gari la Mizigo nimekaa Rwanda na nakwambia Rwanda kuna usalama wa hali ya juu sana, tofauti na Nchi ZOTE za Afrika ya Mashariki...tangu Kagame ameingia madarakani ameishazozana Raisi, na kuua askari, wa kila nchi jirani na Rwanda.
..huenda matatizo na migogoro katika eneo la maziwa makuu chanzo chake ni Rais Kagame.
Sasa mbona anaiharibu Congo ?Kagame ni "Mr Security" wa Rwanda ni kama Netanyahu ukigusa watu wake umemgusa yeye na trust me nimekaa Rwanda ya Habyarimana na ya Kagame mimi ni Dereva wa Gari la Mizigo nimekaa Rwanda na nakwambia Rwanda kuna usalama wa hali ya juu sana, tofauti na Nchi ZOTE za Afrika ya Mashariki.
Kagame ni "Mr Security" wa Rwanda ni kama Netanyahu ukigusa watu wake umemgusa yeye na trust me nimekaa Rwanda ya Habyarimana na ya Kagame mimi ni Dereva wa Gari la Mizigo nimekaa Rwanda na nakwambia Rwanda kuna usalama wa hali ya juu sana, tofauti na Nchi ZOTE za Afrika ya Mashariki.
Kongo ndio iliyoanza kuingilia mogogoro wa Rwanda kwa kutuma Majeshi kumsaidia Habyarimana alichofanya Kagame ni kupeleka vita Kongo.millioni 6+ waliokufa DRC ni binadamu, na ni lazima tulaani mauaji yao.
Kongo ndio iliyoanza kuingilia mogogoro wa Rwanda kwa kutuma Majeshi kumsaidia Habyarimana alichofanya Kagame ni kupeleka vita Kongo.
Wakati General Mahelle alipokuwa akiuwa Wanyarwanda wenye asili ya Kitutsi hadi kupelekea Genocide hizo zilikuwa ni roho za watu.Rwanda ni lazima waambiwe ukweli kwamba mauaji wanayoyafanya dhidi ya majirani zao yanapaswa kukoma.
Wakati General Mahelle alipokuwa akiuwa Wanyarwanda wenye asili ya Kitutsi hadi kupelekea Genocide hizo zilikuwa ni roho za watu.
Tuandikie tafsiri iliyo sahihi zaidi. Tutashukuru mno!Hiyo "Pour" kwenye tafasri ya French umeiweka kwa ajili ya nini?
😂😂Watusi hao vichwa ngumu, hawaelewagi chochote wakishaanza kumwaga damu za watu🫡🫡...genocide dhidi ya Watusi ilikuwa ni jambo baya na wote waliohusika walaaniwe.
..maisha ya Wacongomani yathaminiwe na kulindwa kama vile tunavyofanya kwa Wanyarwanda.
..kuwa na uchungu na Watutsi millioni 1 waliouawa ktk genocide, huku tukifumbia macho, au kuwezesha mauaji ya Wacongo million 6+ ni unafiki uliozidi kiwango.
Hakunaga uchaguzi huru Africa...M23 wanatakiwa kuweka silaha chini na kuwa chama cha siasa na kutafuta uongozi kupitia uchaguzi huru, wa haki, anaoaminika.
Ingekuwa vyema huo usalama wa Rwanda, wanyarwanda wawatakie na majirani zao, na si kuvuka mipaka kwenda kuvuruga kwa majirani zao.Kagame ni "Mr Security" wa Rwanda ni kama Netanyahu ukigusa watu wake umemgusa yeye na trust me nimekaa Rwanda ya Habyarimana na ya Kagame mimi ni Dereva wa Gari la Mizigo nimekaa Rwanda na nakwambia Rwanda kuna usalama wa hali ya juu sana, tofauti na Nchi ZOTE za Afrika ya Mashariki.