Ni kweli lakini kwasasa ndo tulip nae, Messi ni mzuri sanaa ila Palmer ana muelekeo hùo.Mimi ni mshabiki wa Chelsea, na pia ni team R7! Ila lazima niwe mkweli. Leonel Messi alikuwa na uwezo mkubwa sana wa kushambulia. Alikuwa na nguvu, kasi, pace, mwepesi!!
Cole Palmer kiufupi hana hizo sifa na kale kamwili kake ka mayai mayai.
Ila anamzidi Cristiano.Ni kweli lakini kwasasa ndo tulip nae, Messi ni mzuri sanaa ila Palmer ana muelekeo hùo.
Nikama mashabiki wa Simba wana mihemko ya kusifia wachezaji wao wakati uwezo wao uko chini.Hawa tushawazoea washawai kuwapamba akina walcott, willshea, rashford, sancho wakajakua viaz
Pia ana footwork nzuri kumpita Bukayo Saka, ila kua kama Messi sio miaka miwili au matatu lazima aongeze bidii sanaWako sahihi, dogo anauelekeo huo mambo yatakayotokea mbeleni ni mipango ya Mungu.
Saka ni mzuri lakini hamfikii palmer katika kipengele cha ufungaji
Ata ansu fat alianza kama messYamal Lamine
bukayo saka ni wangu wa muda wote kwa siku za karibuniWaingereza wanasema mchezaji wa Chelsea raia wa uingereza ana muelekeo wa kuwa Messi mwingine siku za mbeleni Wewe unakubali au unakataa?
We taja wa kwako mwenye muelekeo huo, mimi namkubali huyu dogo japo mimi ni mshabiki wa CFC.
Alipata mejeruhi ya kudumu ndo maana alidumaAt
Ata ansu fat alianza kama mess
Wewe ni mshabiki wa Simba huna hoja umetengana na mada hapo juu, mashabiki wa arsenal na simba hawana tofauti kubwa.bukayo saka ni wangu wa muda wote kwa siku za karibuni
Kumpita bukayo saka asahau.Pia ana footwork nzuri kumpita Bukayo Saka, ila kua kama Messi sio miaka miwili au matatu lazima aongeze bidii sana
Kwani statistics za messi misimu yake miwili ya mwanzo na ya palmer ikojePia ana footwork nzuri kumpita Bukayo Saka, ila kua kama Messi sio miaka miwili au matatu lazima aongeze bidii sana
Bukayo saka ni mzuri ila hawezi kucheza kama striker au false 9 yeye ni winger tu, ukimbana ndo basi, Palmar anacheza nafasi zaidi ya tatu. Winger, striker, midfielder.Kumpita bukayo saka asahau.
Ni ndoto nyevu.
Mkuu ingia Google sports utiletee hizo statics za messi miaka miwili ya mwanzoKwani statistics za messi misimu yake miwili ya mwanzo na ya palmer ikoje