Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Mimi ni mshabiki wa Chelsea, na pia ni team R7! Ila lazima niwe mkweli. Leonel Messi alikuwa na uwezo mkubwa sana wa kushambulia. Alikuwa na nguvu, kasi, pace, mwepesi!!
Cole Palmer kiufupi hana hizo sifa zote nilizozitaja hapo juu, na kale kamwili kake ka mayai mayai.
Cole Palmer kiufupi hana hizo sifa zote nilizozitaja hapo juu, na kale kamwili kake ka mayai mayai.