Cole Palmer is the closest we have to Messi

Cole Palmer is the closest we have to Messi

Mimi ni mshabiki wa Chelsea, na pia ni team R7! Ila lazima niwe mkweli. Leonel Messi alikuwa na uwezo mkubwa sana wa kushambulia. Alikuwa na nguvu, kasi, pace, mwepesi!!

Cole Palmer kiufupi hana hizo sifa na kale kamwili kake ka mayai mayai.
Ni kweli lakini kwasasa ndo tulip nae, Messi ni mzuri sanaa ila Palmer ana muelekeo hùo.
 
Umeandikaje ?
images (6).jpeg
 
Siku hako kanchi katakapotwaa hata euro tu, utasikia mchezaji wa bei ya chini ni 300m. Hao mabalozi wa ushoga wanajua kujikweza na kujivuna pasipo sababu.
 
Wako sahihi, dogo anauelekeo huo mambo yatakayotokea mbeleni ni mipango ya Mungu.
Saka ni mzuri lakini hamfikii palmer katika kipengele cha ufungaji
Pia ana footwork nzuri kumpita Bukayo Saka, ila kua kama Messi sio miaka miwili au matatu lazima aongeze bidii sana
 
Back
Top Bottom