Atakumbukwa kwa mchango wake wa kuivamia Iraq based on faulty information - Operation Desert Storm. (1991)
Unachanganya madesa,Operation Desert Storm 1991 ilihalalishwa na U.N baada ya Saddam kuivamia Kuwait. Wewe unasemea Operation Iraq Freedom ya March 2003.Atakumbukwa kwa mchango wake wa kuivamia Iraq based on faulty information - Operation Desert Storm. (1991)
Teh teh tehAmani gani ng'o.... yeye na Blair na Goji Bush wameogea damu za innocent civilians !!
Wana kesi za kujibu.... hesabu zao zinawatafuna moja 1 ...!!
Mtoa mada, ulipasww uanze na cheo chake cha Kijeshi, General Collin Powell
Ndio maana nikashangaa anaachaje kumtaja mtu ambaye amelitumikia jeshi la marekani kwa utumishi uliotukukaTena four star general
Miaka 36 in UniformsNdio maana nikashangaa anaachaje kumtaja mtu ambaye amelitumikia jeshi la marekani kwa utumishi uliotukuka
Sio jambo jepesi kwa kila mtu!! Na hapo ameshiriki vita na operesheni nyingi tu!!
Huyo ni mweusi???mhhh
πππHuyu kapumzika sio kufa 84 years Ni kapumzika miangaiko ya dunia.
Hatunaye wapi????
Colin Powell hatunaye tena. Wengi wanamfahamu kama mswahili aliyetingisha sana Marekani akipewa vyeo vingi vikubwa. Sasa hatunaye.
RIP Colin Powell.
Kwani wewe hutakufa? Mwenzako kagonga miaka 84 wewe sijui kama hiyo 50 utatoboa.Enzi hizo na bush walijifanya dunia ya kwao hadi walimuondosha saddam hussen ssa naye kalamba mchanga
DunianiHatunaye wapi????