TANZIA Colin Powell, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa kwanza Mweusi wa Marekani, afariki Dunia kwa COVID-19

TANZIA Colin Powell, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa kwanza Mweusi wa Marekani, afariki Dunia kwa COVID-19

The late Collin Powell was also suffering from myeloma, blood cancer that surpresses immunity.
 
Forming in white blood cells known as plasma cells, multiple myeloma causes cancer cells to emerge in the bone marrow. Over time, these cancerous cells begin to push out healthy plasma cells, which are responsible for fighting infections and producing the antibodies required to lead the fight against germs and infection. Instead, the cancerous cells produced by multiple myeloma result in the production of abnormal proteins that eventually cause significant health problems for the afflicted kidney issues in particular.
Because multiple myeloma targets healthy cells in the bone marrow, it’s often referred to as bone marrow cancer. As with any form of cancer, the key is being able to identify the signs and symptoms of the illness and take action before it becomes too serious.
 
Covid imechangia lakini kama wataalamu wanavyosema ukiwa mzee na mgojwa ni hatari zaidi. Alikuwa na Cancer


=====


Colin Powell, the former secretary of State and chairman of the Joint Chiefs of Staff, has died from Covid complications at the age of 84.

Powell was previously diagnosed with multiple myeloma, a type of blood cancer that hurts the body’s ability to fight infections.
“General Colin L. Powell, former U.S. Secretary of State and Chairman of the Joint Chiefs of Staff, passed away this morning due to complications from Covid 19,” the Powell family wrote on Facebook.

“We have lost a remarkable and loving husband, father, grandfather and a great American,” the family said, noting he was fully vaccinated.

Powell, the son of Jamaican immigrants, became the first Black national security adviser during the Reagan administration.

President George H.W. Bush tapped Powell to be the youngest and first Black chairman of the Joint Chiefs of Staff.

As chairman, he oversaw America’s Desert Storm operations during the Persian Gulf war. After 35 years of military service, Powell retired from the U.S. Army as a four-star general.

In 2001, he became the first Black secretary of State under President George W. Bush.

Source: CNBC
"noting he was fully vaccinated."
 
Colin Powell , ambaye alikuwa Mmarekani wa kwanza mweusi kuwa waziri wa masuala ya kigeni , amefariki akiwa na umri wa miaka 84 kutokana na matatizo ya covid 19.

Alikuwa afisa mkuu wa jeshi ambaye alipanda hadhi hadi kuwa Mmarekani wa kwanza mweusi kuwa waziri wa masuala ya kigeni mwaka 2001 chini ya uongozi wa rais George W Bush.

''Tumepoteza bwana mpendwa, baba, babu na Mmarekani shujaa'', ilisema taarifa.

''Tunataka kuwashukuru maafisa wa afya…kwa matibabu yao'', aliongezea.

MATANGAZO

Taarifa ilisema kwamba alikuwa amepata chanjo kamili dhidi ya ugonjwa huo kabla kifo chake.

Bwana Powell alikuwa mshauri wa kijeshi kwa viongozi wengi wa kisiasa.

Alihudumu na kujeruhiwa nchini Vietnam, uzoefu ambao baadaye ulimsaidia kuandaa mipango yake ya kijeshi na kisiasa.

Bwana Powell , mwenye msimamo wa Kadri alivunja miko ya chama chake na kumuunga mkono Barack Obama 2008 , alikuwa mshamuri mkuu wa kijeshi kwa viongozi wakuu wa Marekani.

Colin Powell
CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES
Hatahivyo kwa wengi , anashirikishwa na jukumu alilochukua katika kuungwa mkono katika vita vya Iraq , akikiri hotuba katika baraza la usalama la Umoja wa mataifa kuhusu utumizi mbaya wa ujasusi katika rekodi yake.

''Ilikuwa uchungu. Ni uchungu hata sasa'', alisema bwana Powell akizungumza na ABC News 2005.

Je Colin Powell ni nani haswa?
Colin Powel alitoka familia ya kawaida na kuwa Muamerika wa kwanza mwenye asili ya Afrika kuhudumu kama waziri wa mashauri ya nchi za kigeni wa Marekani

Afisa wa jeshi aliyeheshimiwa, alishiriki vita vya Vietnam, ujuzi ambao baadaye ulimsaidia kwenye huduma zake jeshini na katika siasa.

Alikuja kuwa mshauri wa kijeshi aliyetegemewa na wanasiasa kadhaa nchini Marekani . Pia alikuwa na mchango mkuwa wakati wa uvamizi wa mwaka 2003 nchini Iraq.

Colin Luther Powell alizaliwa Harlem, New York tarehe 5 Aprili mwaka 1937 kwa wahamiaji kutoka Jamaica.

Wazazi wake walitamka jina lake bila "o" ikiwa ni namna ya kitamaduni ya lugha ya Kiingereza. Lakini akabadilisha kutamkwa kwake kwa heshima ya rubani wa jeshi la Marekani, Colin Kelly, ambaye aliuawa muda mfupi baada ya shambulizi la Pearl Harbor.

Kwa kukiri kwake mwenyewe, alikuwa mwanafunzi wa wastani ambaye alimaliza shule ya upili bila mpango wowote kitaaluma siku za badaye

Akiwa mwanafunzi wa jiolojia katika taaasi ya City College mjini New York alijiunga na no programu kwa jina - Reserve Officers Training Corps (ROTC) inayohusika na kuwatambua viongozi wa jeshi wa siku za baadaye.
 
FB_IMG_16345692454947434.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
General Collin Powel alikuwa ni mmoja wa makamanda wa Jeshi la Marekani waliopigana vita ya Ghuba ya kwanza ya kumuondoa Saddam Hussein (Operation Desert Storm) wakafeli enzi ya utawala wa George Bush Senior miaka ya 90!!

Akaja kupigana vita ya Ghuba ya pili akiwa kama Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani katika serikali ya George Bush Junior wakashinda!!

Alikuwa ni mmoja ya watu watiifu na waliokubalika katika utawala wa George Bush Junior kando ya Waziri wa Ulinzi, Donald Rumsfeld na Makamu wa Rais Dick Cheney!
 
General Collin Powel alikuwa ni mmoja wa makamanda wa Jeshi la Marekani waliopigana vita ya Ghuba ya kwanza ya kumuondoa Saddam Hussein (Operation Desert Storm) wakafeli enzi ya utawala wa George Bush Senior miaka ya 90!!

Akaja kupigana vita ya Ghuba ya pili akiwa kama Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani katika serikali ya George Bush Junior wakashinda!!

Alikuwa ni mmoja ya watu watiifu na waliokubalika katika utawala wa George Bush Junior kando ya Waziri wa Ulinzi, Donald Rumsfeld na Makamu wa Rais Dick Cheney!
Bush family inatupenda sana Waafrika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom