TANZIA Colin Powell, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa kwanza Mweusi wa Marekani, afariki Dunia kwa COVID-19

Watu waliobarikiwa weledi kwenye mamlaka, sijui unasababishwa na uimara wa vyombo vyao vya sheria, au ni culture yao tu.
 
RIP Powell nitakukumbuka daima kwani nimesoma kitabu chako kiitwacho. "It worked for me in life and leadership" ulichoandika na Tony Koltz.
 

Covid 19 kwetu ni taboo.

Heri tuseme moto kukata kuliko kuyakubali matokeo.

Apumzike kwa amani Colin Powell.
 
Marekani kukosa miamba mingine kama hii ndio imesababisha vitaifa kama Iran and Korea Kaskazini kuota sharubu. Hawa ndio walifanikisha vipigo vya mbwa koko.
Ww kichwa mbumbumbu kwani N.Korea Iran hazikuwepo na tawala zao kipindi yupo hai, kashavuna alichopanda kmamake aende akaongopee na huko
 
RIP General. Respect [emoji1659]
Amani ipi atakayoipata gaidi huyu ?? Ivi kulala kwa amani wakati umeuwa mamilioni ya watu unafkri ni mchezo [emoji23][emoji23]? Msitumie RIP kwa mambo ya kipumbavu, moto na bakora vinamsubiri na ataenda kujibu kwa alichokifanya kmmke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…