bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 7,794
- 7,551
Vipigo vya mbwa koko kweli vilivyowafanya asilimia kubwa ya vijana wao waliorudi vitani kuwa kama vichaa na wengine hata kufikia kujiua.Marekani kukosa miamba mingine kama hii ndio imesababisha vitaifa kama Iran and Korea Kaskazini kuota sharubu. Hawa ndio walifanikisha vipigo vya mbwa koko.
Na unajua kwamba wanaopelekwa vitani siyo watoto wa Colin Powel au wale Maseneta bali ni wale wa hali ya chini kiuchumi? Wao ndiyo wanaopewa sifa ya uzalendo.
Angalia filam Fahrenheit 911 utaona jinsi uzalendo wa kimarekani ulivyo.