TANZIA Colin Powell, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa kwanza Mweusi wa Marekani, afariki Dunia kwa COVID-19

Marekani kukosa miamba mingine kama hii ndio imesababisha vitaifa kama Iran and Korea Kaskazini kuota sharubu. Hawa ndio walifanikisha vipigo vya mbwa koko.
Vipigo vya mbwa koko kweli vilivyowafanya asilimia kubwa ya vijana wao waliorudi vitani kuwa kama vichaa na wengine hata kufikia kujiua.

Na unajua kwamba wanaopelekwa vitani siyo watoto wa Colin Powel au wale Maseneta bali ni wale wa hali ya chini kiuchumi? Wao ndiyo wanaopewa sifa ya uzalendo.

Angalia filam Fahrenheit 911 utaona jinsi uzalendo wa kimarekani ulivyo.
 
Amekufa kwa Covid-19 complications na alipata chanjo zote(kamili) ???
 
Yes,peaceful death.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenzako anahangaika huko kutokana na mauvu ya kusababisha maeflu ya watu kuuwawa ww unaleta ngonjera zako hapa, kila nafsi itaonja umauti na kila mchuma atavuna alichokichuma, wale wenye viburi na kusababisha ufisadi hapa duniani hukumu zinawasubiri huko, endelea kumpigia ngonjera zako [emoji23]
 
Kwa covid? mmmh!!
Na alikuwa FULLY VACCINATED.
Kapokea chanjo zote.
Dunia itadanganywa sana.
 
Ulimuona akiwa anahangaika? Na kama yeye anahangaika na yule Gaidi General Suleiman atakuwa na hali gani maana yeye cha moto alikipata hapa hapa Duniani kutoka kwa Hellfire Missile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
He would say himself that his own legacy had been damaged by a speech to the United Nations Security Council which used faulty intelligence to back the invasion of Iraq.

"It was painful. It's painful now," Powell told ABC News in 2005
 
Una uhakika gani kama alitubu kabla hajafa??...
 
Ww kichwa mbumbumbu kwani N.Korea Iran hazikuwepo na tawala zao kipindi yupo hai, kashavuna alichopanda kmamake aende akaongopee na huko
😀 😀 Daaah,mkuu utakufa kwa stress,kumtolea povu kila mtu namna hii ni dalili ya kuwa na tatizo la akili...Relux usikaze sana ubongo wako,humu watu wanatoa maoni tu sio uwanja wa vita....
 
Ulimuona akiwa anahangaika? Na kama yeye anahangaika na yule Gaidi General Suleiman atakuwa na hali gani maana yeye cha moto alikipata hapa hapa Duniani kutoka kwa Hellfire Missile

Sent using Jamii Forums mobile app
Unamshangaa Suleimani but hata yesu alikufia msalabani kwa mateso ya wayahudi kama bibilia inavyosema, unaowaabudia leo [emoji16] na kuwapa shobo wakati dini yako na wao haviendani ila unalazimisha
 
😀 😀 Daaah,mkuu utakufa kwa stress,kumtolea povu kila mtu namna hii ni dalili ya kuwa na tatizo la akili...Relux usikaze sana ubongo wako,humu watu wanatoa maoni tu sio uwanja wa vita....
Kmamake aende akachezee kichapo kitakatifu kwa alichosababisha
 
Yes he did but because he was suffering from other healthy complications he was due to receive the booster shot but very unfortunately he passed away before receiving his 3rd Pfizer shot.

Amekufa kwa Covid-19 complications na alipata chanjo zote(kamili) ???
 
Collin Powell’s last interview on July 12, 2021.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…