Collabo na Alikiba: Je, Davido ni njia kuu ya wasanii wa Tanzania kuwika kimataifa?


Davido ndio daraja la wabongo
 
Last edited by a moderator:
+sasa hivi Nigeria pamekua pa kimataifa? si juzi tu hapa mlikua mnamponda Mondi kufanya collabo na wanaija!

+kweli kuny* anye kuku...
Asante Kiba kwa kuninyooshea mashabiki wako maandazi, umewapa mnyoosho murua kabisa, sasa kelele za kuhusu naija kimyaa!!
 
Nahisi hii collabo Kiba aliomba kipindi kile akidhani kuwa davido na Diamond haziivi juzi kwenye mtv wakadhihirisha ni rumors haha. Na hii kitu davido anatumia kama njia nzuri ya kujipromote zaid Tanzania ths guy is genius for real ana ataendelea sana kusumbua as best male artist in Africa. BigUp kwa davido akili kubwa
 
Ninakumbuka interview moja Kiba alisema hawezi kuchanganya bongo flava na za Nigerians sababu ataua mziki wa bongo flava. Natumaini ametambua umuhimu wa collabo na watu wa nje ya nchi.

Ni kama Davido anajua juu ya biashara pia kwani ameongea vizuri, anajua kutafuta pesa.
 
mtanyooshwa tu lazima mfate nyayo za mond bin laden msanii wa taifa aliko pita ili mtusue au kuseleleka, lakin bila kujituma na akili kutoboa ngumu davido atapaishwa sana kisa kila mtz mpaka afanye nae collabo kile kichwa kijanja sana.
 
Davido ndo analilia colabo na kiba, usicheze na king
 
Davido ndo analilia colabo na kiba, usicheze na king

Ila cha ajabu king kiba yy ndo kapost insta kuwa ana collabl na davido lakn davido mwenyew hana ata habar ukiachana na lile swal la millard ayo so hio inaonesha wazi king kiba ndo kaomba heheheh tena nahic ktk swala la connection mr icon(diamond) amehucka mana kama tujuavyo yy ndo mr connection cku hz.
 
Mmmh videp ya diamond ilipofanywa na god father ika hit, kiba naye akafanya na god father duu nahisi diamond asingekuwepo kiba angeshapotea kitambo, maana hapa naona makombo yanaendelea
 
Basi ni mtumia fursa mzuri, the same fursa aliitumia akafanyiwa women empowerment hadi akatusua
kama kunguru vile kwenye vita vya panzi
 
Bwah! bwah! Bwah! Bwah! Bwah! King anataka kubebwa na mwanaume mwenzake.....
 
Kufanya collabo si kufanikiwa ay kafanya ngapi jee kanasua km zilivo plan za mtu
Muziki wa sasa ni zaidi ya collabo... ni kama unapoamua kufungua duka la nguo wakati kuna watu kibao wana maduka ya nguo... ni ubunifu na struggle zako katika kusonga mbele zaidi ndo zitakufanya upige hatua lakini si kwa sababu umefanya collabo hata kama na Chris Brown not mentioning Davido!
 
Na bado... aliomba, kaombwa ndio collabo inafanyika hivyo.
Jiandaeni tu kisaikolojia maana vilio vitazidi hivi mnavyolia sasa, na vile King hakoseagi?
Uwiiiiiii can't wait. ...
#TutaheshimianaTu
 
Na bado... aliomba, kaombwa ndio collabo inafanyika hivyo.
Jiandaeni tu kisaikolojia maana vilio vitazidi hivi mnavyolia sasa, na vile King hakoseagi?
Uwiiiiiii can't wait. ...
#TutaheshimianaTu

Lakini ulikuwa unaponda izi mambo apo mwanzo kwa mr. Icon...sasa ivi upepo umekuja kwa kiba unaona raahaa mwenywe,yaani saa ivi ndo tutaheshimiana baada ya kiba kutangaza collabo na huy huy ambaye mwanzoni mlikuwa mnaponda diamond kupitia kwake....apa ndo ulipodhihirisha kuwa izi collabo za diamond zilikuwa zinakuumiza kichwa mno uku ukitamani cku moja kiba nae ajitoe kimasomaso...ila ulikuwa unaificha machoni tu uku moyoni inakuumiza!

But hongera kwa kiba kwa kuanza kujifunza kwa waliomtangulia naona somo juu ya partnership business with foreignners limemwingia tayari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…