hahahaha wataelewa tu alaf umesahau na hii kuwa wasanii wa kimataifa ndiyo wanaomba colabo na king
Haaahaa sawa mkuu. King atabaki kuwa king wala hawezi mfikia Mr Icon.
hata mr.i.con jana katuma maombi ya kufanya colabo na king
hapa davido anatafuta kiki ya kutokea
Hata kwenye wimbo NUMBER ONE kuna mstari davido a member " Tanzania to Lagos I can make you famous".hvyo iko wazi kuwa hilo na haina ubishi kuwa davido ndio kamtoa chibuu
Lakini ulikuwa unaponda izi mambo apo mwanzo kwa mr. Icon...sasa ivi upepo umekuja kwa kiba unaona raahaa mwenywe,yaani saa ivi ndo tutaheshimiana baada ya kiba kutangaza collabo na huy huy ambaye mwanzoni mlikuwa mnaponda diamond kupitia kwake....apa ndo ulipodhihirisha kuwa izi collabo za diamond zilikuwa zinakuumiza kichwa mno uku ukitamani cku moja kiba nae ajitoe kimasomaso...ila ulikuwa unaificha machoni tu uku moyoni inakuumiza!
But hongera kwa kiba kwa kuanza kujifunza kwa waliomtangulia naona somo juu ya partnership business with foreignners limemwingia tayari.
Yaani nikijadili kitu na wewe itabidi niongee unavyotaka, ni kweli jana Mr Icon kamuomba collabo king. Yaani king ni noma!
Inasikitisha upeo wako umeishia hapo, kumbe davido alikuwa anamwimbia diamond!!!!!?? Me najua alikuwa anamuimbia demu wa kibongo cause wimbo ni wa kibongo so uko addressed to mbongo sasa wewe sijui umekula maharage ya wapi wewe unaongea shit wewe mpumbavu wewe
tutaelewana tu
Wewe unawashwa hyo ni kwa mawazo yako,kuna maneno ndani wa wimbo yanaweza kuwekwa kwa maaana.ila kwa kuwa ulichukulia maana ya tittle ya nyimbo na akili zako za panzi ukastik kwenye hyo maana moja
Yaani lazima tuelewane tu! Chezea king wewe! Hadi Davido kaomba collabo?
mkuu umeona eheee. king ni jembe anatisha bana
Hahahaaa jamani leo king oyeeeeeeeeee
Yaani lazima tuelewane tu! Chezea king wewe! Hadi Davido kaomba collabo?
Davido best male artist in the whole continent of afrika atafute kick ya kutokea kwa kiba?????? Kweli ushabiki sometimes ni upunguani(insanity)