Collabo na Alikiba: Je, Davido ni njia kuu ya wasanii wa Tanzania kuwika kimataifa?

Collabo na Alikiba: Je, Davido ni njia kuu ya wasanii wa Tanzania kuwika kimataifa?

hapa davido anatafuta kiki ya kutokea

Davido best male artist in the whole continent of afrika atafute kick ya kutokea kwa kiba?????? Kweli ushabiki sometimes ni upunguani(insanity)
 
Hata kwenye wimbo NUMBER ONE kuna mstari davido a member " Tanzania to Lagos I can make you famous".hvyo iko wazi kuwa hilo na haina ubishi kuwa davido ndio kamtoa chibuu

Inasikitisha upeo wako umeishia hapo, kumbe davido alikuwa anamwimbia diamond!!!!!?? Me najua alikuwa anamuimbia demu wa kibongo cause wimbo ni wa kibongo so uko addressed to mbongo sasa wewe sijui umekula maharage ya wapi wewe unaongea shit wewe mpumbavu wewe
 
Lakini ulikuwa unaponda izi mambo apo mwanzo kwa mr. Icon...sasa ivi upepo umekuja kwa kiba unaona raahaa mwenywe,yaani saa ivi ndo tutaheshimiana baada ya kiba kutangaza collabo na huy huy ambaye mwanzoni mlikuwa mnaponda diamond kupitia kwake....apa ndo ulipodhihirisha kuwa izi collabo za diamond zilikuwa zinakuumiza kichwa mno uku ukitamani cku moja kiba nae ajitoe kimasomaso...ila ulikuwa unaificha machoni tu uku moyoni inakuumiza!

But hongera kwa kiba kwa kuanza kujifunza kwa waliomtangulia naona somo juu ya partnership business with foreignners limemwingia tayari.

Davido ndio kalilia colabo kwa king mkuu, sio Yule Mondy muomba collabo.
 
Inasikitisha upeo wako umeishia hapo, kumbe davido alikuwa anamwimbia diamond!!!!!?? Me najua alikuwa anamuimbia demu wa kibongo cause wimbo ni wa kibongo so uko addressed to mbongo sasa wewe sijui umekula maharage ya wapi wewe unaongea shit wewe mpumbavu wewe

Wewe unawashwa hyo ni kwa mawazo yako,kuna maneno ndani wa wimbo yanaweza kuwekwa kwa maaana.ila kwa kuwa ulichukulia maana ya tittle ya nyimbo na akili zako za panzi ukastik kwenye hyo maana moja
 
Wewe unawashwa hyo ni kwa mawazo yako,kuna maneno ndani wa wimbo yanaweza kuwekwa kwa maaana.ila kwa kuwa ulichukulia maana ya tittle ya nyimbo na akili zako za panzi ukastik kwenye hyo maana moja

Hahahaha inasikitisha sana maana inaonesha hata ulivyokuwa shule ulikuwa unabadilisha maswali ya mtihani yawe unavyotaka wewe hahaha unafurahisha binti
 
Wakuu kama Msanii bora wa Africa kwa miaka 2 mfululizo na mshindi wa BET mwaka 2014, Davido (OBO) kausoma upepo mapema kuwa No way out ni lazima kupiga collabo na King Kiba.

Ni wazi kwamba mr.Collabo na mfalme wa mbeleko Diamond ni lazima naye afanye kama alivyofanya baba yake Davido kwa kupiga collabo na KingKiba.
 
Ali kiba anaamini na yeye atatusua kimataifa inaweza ikawa yes or no maana kila kitu kitadepend na wimbo wenyewe, diamond alitusua kimataifa sababu kwanza nyumbani alikuwa ameshapakamata kisawasawa hapa namaanisha africa mashariki na kati na pia wimbo wa #1 ni classic sana kuanzia beat mpaka mashairi.... Davido kafanya collabo na wasanii wengi sana wa kimataifa na wa naija lakini hawajaweza kuikamata Africa kama diamond, kuna watu kama emma nyra, mc galaxy,kcee,runtown hao ni wanaija na kuna pallaso wa uganda lakini ukiangalia wote hao hawana majina africa labda kidogo kcee na hata kwenye tuzo kubwa hawapo.. Sasa ndio mjue collabo haisaidii kihivyo bali uwe na hitsongs za kutosha unajituma pia hivyo diamond kafanya kazi kubwa kutoa hit after hit anastahili pongezi........ Gudluck kingkiba
 
Kama vile Kiba na Davido wana team up against Chibi, na hili ni kosa kubwa Kiba anaenda kulifanya
 
davido akomaaa ataka colabo na king. hapa mtofautishe kati ya neno KUOMBA NA KUOMBWA.kuna tofauti hapa wakuu
 
Davido best male artist in the whole continent of afrika atafute kick ya kutokea kwa kiba?????? Kweli ushabiki sometimes ni upunguani(insanity)

kaka mtu anajitoa ufahamu hutakiwi kuargue nae hivyo utaamia kicha.. binti kiziwi njoo umueleweshe hao watu unavyoenda nao.
 
Last edited by a moderator:
Ni wachache wenye uwezo wa kufanya collabo kuwa hitsong rollover..AllyKiba bado nyota dogo,kaenda kuparamia collabo zenye heavyweight..hii collabo in kama ataishia kuipwelepweleta..?!
 
Back
Top Bottom