Munguwatosha
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 601
- 328
mtanyooka tu wale team malaya hawapigi kelele tena kule ig wanaomba huruma bado nyie mabwana zao mtanyooka tu yule ni mtoto wa tandale hasugui gaga kwenye video.
Still collabo haikoofficial,lakini alichokifanya Davido nikutambua uwepo wa Kiba ktk industry,hakuna kuomba wala kuombwa collabo,naming,I can see that Kiba hawezi kuimudu mikiki ya davidodavido akomaaa ataka colabo na king. hapa mtofautishe kati ya neno KUOMBA NA KUOMBWA.kuna tofauti hapa wakuu
Collabo ya Davido ft Diamond,iko official,but iyo iliobaki tc not inn realityAli kiba ft Davido na Davido ft Diamond. Em niambieni hapo nani kumuomba kolabo mwenzake.
Wrong perception,U will never find kitu kama hicho inn musicIndustry,davido and Mond damdam mileleKama vile Kiba na Davido wana team up against Chibi, na hili ni kosa kubwa Kiba anaenda kulifanya
Am not sure kama Kiba ataweza kuhimili miyemko ya Davidombeleko ya kiba itamkutanisha davido na r.kelly
Davido ndio kalilia colabo kwa king mkuu, sio Yule Mondy muomba collabo.
Kiba always ye ni One man Army!ndo mana collabo imezungumziwa na davido,bila kiba kuwepoNdio. Haha hahhaha! (Ona wanavyosonya)
Hio so statement yakushikamana nayo,kikubwa ni kwamba collabo ilifanyika pamoja na mtu alietabiliwa kuwa mshindi thatsY imekuwa na impact kubwaHata kwenye wimbo NUMBER ONE kuna mstari davido a member " Tanzania to Lagos I can make you famous".hvyo iko wazi kuwa hilo na haina ubishi kuwa davido ndio kamtoa chibuu