Collabo na Alikiba: Je, Davido ni njia kuu ya wasanii wa Tanzania kuwika kimataifa?

Collabo na Alikiba: Je, Davido ni njia kuu ya wasanii wa Tanzania kuwika kimataifa?

Ali kiba ft Davido na Davido ft Diamond. Em niambieni hapo nani kumuomba kolabo mwenzake.
 
mtanyooka tu wale team malaya hawapigi kelele tena kule ig wanaomba huruma bado nyie mabwana zao mtanyooka tu yule ni mtoto wa tandale hasugui gaga kwenye video.

mkuu una maanisha mond atanyooooka kwa king au?
 
davido akomaaa ataka colabo na king. hapa mtofautishe kati ya neno KUOMBA NA KUOMBWA.kuna tofauti hapa wakuu
Still collabo haikoofficial,lakini alichokifanya Davido nikutambua uwepo wa Kiba ktk industry,hakuna kuomba wala kuombwa collabo,naming,I can see that Kiba hawezi kuimudu mikiki ya davido
 
Kama vile Kiba na Davido wana team up against Chibi, na hili ni kosa kubwa Kiba anaenda kulifanya
Wrong perception,U will never find kitu kama hicho inn musicIndustry,davido and Mond damdam milele
 
Davido ndio kalilia colabo kwa king mkuu, sio Yule Mondy muomba collabo.


nina wasiwasi na akili yako...si ajabu ushaanza kuokota makopo wewe

How can you compare davido na Mfalme asiye na nyumba ya kuishi

Huyo Mfalme wenu hamfikii Diamond,Ommy Dimpoz sembuse Davido
 
Hata kwenye wimbo NUMBER ONE kuna mstari davido a member " Tanzania to Lagos I can make you famous".hvyo iko wazi kuwa hilo na haina ubishi kuwa davido ndio kamtoa chibuu
Hio so statement yakushikamana nayo,kikubwa ni kwamba collabo ilifanyika pamoja na mtu alietabiliwa kuwa mshindi thatsY imekuwa na impact kubwa
 
Hongera Kiba kwa kufata nyayo role model wako za Mondi jitahidi sana one day yes utapasua tu
 
Davido anataka ajulikane zaidi bongo,kwani hapo mwanzo nani alikua anamjua Davido
 
Mtamaliza maneno, mtamaliza kebehi, mtamaliza vichambo, matusi na vicheko vyote vya kichawi.Mtamaliza reference zote na mtaitana pande zotee, ila collabo ndo hiyo yajaaaaa!
Davido kawa daraja, kitanda au kiti, ITAFAHAMIKA tu.
 
Kila hatua Ali Kiba anayochukua, mnaichukulia kama ATTACK against diamond?
sitaki kujua kwanini, ila mpo na ghilba la nafsi.
 
Back
Top Bottom