Collabo ya Papa Wemba ft Diamond

Jamaa hajadondoka toka juu mpaka chini, amecollapse... Ni heart failure i think.

Ingeweza tokea hata akiwa usingizini.... So acha kulalamika.
I thought differently, then tunawekana sawa acha kutoa povu... It cost u nothing to correct.
 
Yes, more celebrities ARE dying this year: Survey shows BBC have broadcast TWICE as many obituaries in 2016 compared to last year

Inasemekana huu mwaka tutawapoteza watu mashuhuri....
 
Jifunze kufatilia mambo kwa undani kuna faida yake.
 
Imethibitishwa kuwa ile collabo kati ya marehemu Papa Wemba na msanii wa kimataifa Diamond Platinumz inategemea kuachiwa mwezi huu tarehe 24 june 2016. Ikumbukwe hii ni moja kati ya nyimbo za mwisho alizoimba Papa Wemba kabla mauti haujamfika na ilifanyika Paris, Ufaransa.

Na pia kuna collabo ya Diamond ft P.Square pia itaachiwa so soon

 
So,zitaachiwa mbili kwa kuongozana?yaani sambamba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…