Hivi ndo tuseme ajali kazini ama, maana nimejiuliza maswali mengi sana baada kifo chake papa wemba hasa kilicho msababishia kuondoa uhai wake ili limekaaje, hizi hall stage huwa zinandaliwa na experts na kwa kiwango cha ubora gani hasa kwa bara la Afrika ukiacha SOUTH AFRICA ambao wanaanda MTV BASE AWARDS naona bado tupo nyuma sana... Mbona BET AWARDS, MTV AWARDS hall stages zake zipo kwenye viwango vya juu na wana weka effort sana kwenye hili kwa kweli huwa wana stage nzuri sana na zenye hadhi huku wakiangazia USALAMA wa wasanii wakiwa kwenye stage, leo tumempoteza papa wemba kwa hall stage collapse dah inasikitisha..