Colonel Macgregor wa Marekani asema Biden alikataa kukiri madai muhimu ya Putin, sasa atazame tu kwa macho uvamizi wa kijeshi wa Putin Ukraine

Sikirimimimasikini

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2019
Posts
2,926
Reaction score
15,634
Colonel Douglas Macgregor, afisa mstaafu wa jeshi la Marekani amevunja ukimya kwa kusema kuwa Marekani ina nafasi ya kuepusha vita na Putin (Russia). Jambo la kwanza wanalopaswa kufanya Wamarekani ni kukiri na kukubaliana na nukta ya msingi ya Putin (Russia), ambayo serekali ya Russia imeiweka wazi kwa zaidi ya miaka 25 sasa. Nukta yenyewe ni kuwa Russia hawataki majeshi ya Marekani, mizinga ya Marekani, na majeshi ya NATO kwenye mpaka wake na Ukraine (Mashariki ya Ukraine kwenye majimbo yaliyotangazwa huru na Putin).

Colonel Douglas akaendelea kusema: Kiukweli kabisa hata sisi Wamarekani hatukuyataka majeshi ya Russia na mizinga yake ndani ya Cuba, Putin naye hataki mambo hayo mashariki mwa Ukraine. Lazima tukubali madai hayo. Tuache kujifanyisha kuwa madai hayo hayana maana (ni ya kipuuzi).

Zaidi ya hapo Colonel huyo kasema Marekani haina uwezo wa kumfanya chochote Putin dhidi ya uvamizi wake.
===

COL. DOUGLAS MACGREGOR: Let me just reiterate something. I, like you and millions of Americans, would prefer that the troops headed to Eastern Europe right now were headed to the Mexican border. But I’m also very concerned that we find a way to avoid a conflict with Russia. The first thing we have to do is acknowledge that Putin’s basic point, not just his point, the Russian government’s point, which they’ve made for 25 years, is valid. They don’t want U.S. forces and missiles and NATO troops immediately across the border in eastern Ukraine. Absolutely. We didn’t want them in Cuba, he doesn’t want them in eastern Ukraine. We should acknowledge that. Stop pretending it’s a nonissue. It is a major issue for them. Let’s acknowledge it and then let’s get down to business and tell them fine, our concern at this point is we don’t want you to proceed west towards the polish border over the Dnieper River in Ukraine.
 
Kipindi yupo huyu jamaa, Putin alitulia tuli kama maji tungini.

Yule mkuu wa majeshi Iran Qasem Soleimani hakusikia la mkuu, kilichofata alitunguiwa.
1645723857931.png
 
Colonel Douglas Macgregor, afisa mstaafu wa jeshi la Marekani amevunja ukimya kwa kusema kuwa Marekani ina nafasi ya kuepusha vita na Putin (Russia). Jambo la kwanza wanalopaswa kufanya Wamarekani ni kukiri na kukubaliana na nukta ya msingi ya Putin (Russia), ambayo serekali ya Russia imeiweka wazi kwa zaidi ya miaka 25 sasa. Nukta yenyewe ni kuwa Russia hawataki majeshi ya Marekani, mizinga ya Marekani, na majeshi ya NATO kwenye mpaka wake na Ukraine (Mashariki ya Ukraine kwenye majimbo yaliyotangazwa huru na Putin).

Colonel Douglas akaendelea kusema: Kiukweli kabisa hata sisi Wamarekani hatukuyataka majeshi ya Russia na mizinga yake ndani ya Cuba, Putin naye hataki mambo hayo mashariki mwa Ukraine. Lazima tukubali madai hayo. Tuache kujifanyisha kuwa madai hayo hayana maana (ni ya kipuuzi).
===

COL. DOUGLAS MACGREGOR: Let me just reiterate something. I, like you and millions of Americans, would prefer that the troops headed to Eastern Europe right now were headed to the Mexican border. But I’m also very concerned that we find a way to avoid a conflict with Russia. The first thing we have to do is acknowledge that Putin’s basic point, not just his point, the Russian government’s point, which they’ve made for 25 years, is valid. They don’t want U.S. forces and missiles and NATO troops immediately across the border in eastern Ukraine. Absolutely. We didn’t want them in Cuba, he doesn’t want them in eastern Ukraine. We should acknowledge that. Stop pretending it’s a nonissue. It is a major issue for them. Let’s acknowledge it and then let’s get down to business and tell them fine, our concern at this point is we don’t want you to proceed west towards the polish border over the Dnieper River in Ukraine.
Ni watu wachache sana kule USA wanaweza kusema haya in bold. na ni ukweli uliowazi wangekuwa wameyasikiliza madai ya Russia leo tusingezungumza hiyo vita.

Leo USA inaonekana haina nguvu tena maana haiwezi kutoa displine kwa nchi ingine kama ilivyokuwa huko nyuma, leo USA anakiri hatoingia vitani zaidi ya vikwazo vya kiuchumi.

Marekani sasa inaonekana kama msemaji tu pasipo vitendo.

Goo Putin Go mpaka waseme NATO haitajisogeza karibu nawe
 
Kama hawana maslahi nayo hawajali
Wasilete mbwembwe Marekani ni Taifa kubwa na wanaelewa kinachoendelea na kitakachokuja baadae hata kwa kuwaza tu

Kwa hiyo wamuache Putin afanye yake
Naiona USSR inarudi taratibu
Povu rukhsa hata mataifa yametengana kwa hili
Kuna wanaomkubali Putin na kuna waliofuata NATO na USA
 
Ni watu wachache sana kule USA wanaweza kusema haya in bold. na ni ukweli uliowazi wangekuwa wameyasikiliza madai ya Russia leo tusingezungumza hiyo vita.

Leo USA inaonekana haina nguvu tena maana haiwezi kutoa displine kwa nchi ingine kama ilivyokuwa huko nyuma, leo USA anakiri hatoingia vitani zaidi ya vikwazo vya kiuchumi.

Marekani sasa inaonekana kama msemaji tu pasipo vitendo.

Goo Putin Go mpaka waseme NATO haitajisogeza karibu nawe
Ukumbuke ni vita vya Ukrain na Russia. Majirani.
 
sio tu majirani ni ndugu lakini the whole of Ulaya wanateseka na duniani kote tutapata taabu.

lakini hakuna jinsi kuna wakati tunapaswa kujua kutochukua hatua mapema kuna athari kwa wote hata kama huusiki na mgogoro huo na ndio maana iliundwa UN. lakini UN leo ni toothless Dragon
 
Aisee nilikuwa napitia mafaili ya Colonel Macgregor wa Marekani.

Kumbe mnamo mwaka jana aliwahi onya kuwa Marekani isidhanie Russia ni lelemama, kwamba ikitokea vita Marekani itaiangamiza Russia, dhana hiyo akaiita ni upumbavu!

Bali akaonya (akitabiri) kuwa siku Marekani tukimchalenji Putin (Russia) mlangoni kwake, kwa maana mashariki ya Ukraine, basi Putin atatushinda kivita.

Na tukiwa wapumbavu tukajaribu kutumia silaha za nyuklia dhidi ya Russia baada ya silaha zetu za kawaida (conventional weapons) kushindwa, basi dunia hii itaangamizwa mara moja na Putin
.

Tizama video hii sekunde ya 40 hadi dkk 1:20
 
sio tu majirani ni ndugu lakini the whole of Ulaya wanateseka na duniani kote tutapata taabu.

lakini hakuna jinsi kuna wakati tunapaswa kujua kutochukua hatua mapema kuna athari kwa wote hata kama huusiki na mgogoro huo na ndio maana iliundwa UN. lakini UN leo ni toothless Dragon
Ulaya ikiisaidia ukrain itapoteza nn?
Ulaya isipoisaidia ukrain itapoteza nn?
 
Aisee nilikuwa napitia mafaili ya Colonel Macgregor wa Marekani.

Kumbe mnamo mwaka jana aliwahi onya kuwa Marekani isidhanie Russia ni lelemama, kwamba ikitokea vita Marekani itaiangamiza Russia, dhana hiyo akaiita ni upumbavu!

Bali akaonya (akitabiri) kuwa siku Marekani tukimchalenji Putin (Russia) mlangoni kwake, kwa maana mashariki ya Ukraine basi Putin atatushinda kivita.

Na tukiwa wapumbavu tukajaribu kutumia silaha za nyuklia dhidi ya Russia baada ya silaha za kawaida (conventional weapons) kushindwa, basi dunia hii itaangamizwa mara moja na Putin
.

Tizama video hii sekunde ya 40 hadi dkk 1:20

Ndo ufala ninaowaambia warusia uchwara na wamerekani huku kuwa wasiropoke tu maana nuclear war ikishaingia ndo basi tena dunia inakuwa venus. Joto kaliiiiiii.

Puttin apuuzwe kwa usalama wa dunia. Aachwe amalizane na ndugu zake.
 
Ukumbuke ni vita vya Ukrain na Russia. Majirani.
sio tu majirani ni ndugu lakini the whole of Ulaya wanateseka na duniani kote tutapata taabu.

lakini hakuna jinsi kuna wakati tunapaswa kujua kutochukua hatua mapema kuna athari kwa wote hata kama huusiki na mgogoro huo na ndio maana iliundwa UN. lakini UN leo ni toothless Dragon
Ulaya ikiisaidia ukrain itapoteza nn?
Ulaya isipoisaidia ukrain itapoteza nn?
Mkuu tayari umeona byei mafuta duniani imepanda, tayari umeona soko la hisa duniani limeyumba.

kumbuka Ukraine inalisha sehemu kubwa ya dunia ngano
Kumbuka Russia anaiuzia Ulaya 43% ya gas yote inayotumika Ulaya kwa ajili ya majumbani viwandani na kuzalisha umeme. tayari gas imeanza kupanda
madhara ni mengi sana, yote ni kushupaza shingo kwa umoja wa NATO na Marekani
 
sio tu majirani ni ndugu lakini the whole of Ulaya wanateseka na duniani kote tutapata taabu.

lakini hakuna jinsi kuna wakati tunapaswa kujua kutochukua hatua mapema kuna athari kwa wote hata kama huusiki na mgogoro huo na ndio maana iliundwa UN. lakini UN leo ni toothless Dragon

Mkuu tayari umeona byei mafuta duniani imepanda, tayari umeona soko la hisa duniani limeyumba.

kumbuka Ukraine inalisha sehemu kubwa ya dunia ngano
Kumbuka Russia anaiuzia Ulaya 43% ya gas yote inayotumika Ulaya kwa ajili ya majumbani viwandani na kuzalisha umeme. tayari gas imeanza kupanda
madhara ni mengi sana, yote ni kushupaza shingo kwa umoja wa NATO na Marekani
Daa😔😔

Tumetoka kurecover kwenye corona tupo tunaimarisha miundombinu ya biashara wanatokea hawa wajinga wajinga wapigiwa saluti na kugeuza dunia kuwa si sehemu salama.
 
Back
Top Bottom