Colonel Macgregor wa Marekani asema Biden alikataa kukiri madai muhimu ya Putin, sasa atazame tu kwa macho uvamizi wa kijeshi wa Putin Ukraine

Colonel Macgregor wa Marekani asema Biden alikataa kukiri madai muhimu ya Putin, sasa atazame tu kwa macho uvamizi wa kijeshi wa Putin Ukraine

Colonel Douglas Macgregor, afisa mstaafu wa jeshi la Marekani amevunja ukimya kwa kusema kuwa Marekani ina nafasi ya kuepusha vita na Putin (Russia). Jambo la kwanza wanalopaswa kufanya Wamarekani ni kukiri na kukubaliana na nukta ya msingi ya Putin (Russia), ambayo serekali ya Russia imeiweka wazi kwa zaidi ya miaka 25 sasa. Nukta yenyewe ni kuwa Russia hawataki majeshi ya Marekani, mizinga ya Marekani, na majeshi ya NATO kwenye mpaka wake na Ukraine (Mashariki ya Ukraine kwenye majimbo yaliyotangazwa huru na Putin).

Colonel Douglas akaendelea kusema: Kiukweli kabisa hata sisi Wamarekani hatukuyataka majeshi ya Russia na mizinga yake ndani ya Cuba, Putin naye hataki mambo hayo mashariki mwa Ukraine. Lazima tukubali madai hayo. Tuache kujifanyisha kuwa madai hayo hayana maana (ni ya kipuuzi).

Zaidi ya hapo Colonel huyo kasema Marekani haina uwezo wa kumfanya chochote Putin dhidi ya uvamizi wake.
===


COL. DOUGLAS MACGREGOR: Let me just reiterate something. I, like you and millions of Americans, would prefer that the troops headed to Eastern Europe right now were headed to the Mexican border. But I’m also very concerned that we find a way to avoid a conflict with Russia. The first thing we have to do is acknowledge that Putin’s basic point, not just his point, the Russian government’s point, which they’ve made for 25 years, is valid. They don’t want U.S. forces and missiles and NATO troops immediately across the border in eastern Ukraine. Absolutely. We didn’t want them in Cuba, he doesn’t want them in eastern Ukraine. We should acknowledge that. Stop pretending it’s a nonissue. It is a major issue for them. Let’s acknowledge it and then let’s get down to business and tell them fine, our concern at this point is we don’t want you to proceed west towards the polish border over the Dnieper River in Ukraine.
msema kweli mpenzi wa mungu
 
Tulia wew Ukraine awaonyeshe shoo shenzi putin
 
Kipindi yupo huyu jamaa, Putin aliufyataView attachment 2129799
Tulia wew vita sio mcheze kama mnavyo dhani
Screenshot_2022-02-24-18-04-55-693_com.instagram.android.jpg
 
China haipo tayari kuungana na Russia lakini atleast wametoa tamko kuhusu Kipwipwi USA
 
Russia keshajitwalia uwanja wa ndege wa Antonov International Airport huko Ukrain.
 
Hapa inabidi ukraine ikubali kuachana na mpango wake wa kujiunga nato......
 
Back
Top Bottom