thuwainize
Senior Member
- Jan 29, 2022
- 178
- 382
mkuu we acha tu hapo ndipo ninapowachukia wanasiasa huwa wanajali maslahi yao ya kisiasa tu.Daa๐๐
Tumetoka kurecover kwenye corona tupo tunaimarisha miundombinu ya biashara wanatokea hawa wajinga wajinga wapigiwa saluti na kugeuza dunia kuwa si sehemu salama.
Kabisa. Yaani hapo daktari, mfanyabiashara, mwanajeshi, polisi, mwanasheria, watoto watakufa ili mwanasiasa jina lake libaki kwenye vitabu vya kihistoria.mkuu we acha tu hapo ndipo ninapowachukia wanasiasa huwa wanajali maslahi yao ya kisiasa tu.
[emoji23][emoji23][emoji23]Huyu ni sawa na luteni urio wa Bongo ata hashtui
msema kweli mpenzi wa munguColonel Douglas Macgregor, afisa mstaafu wa jeshi la Marekani amevunja ukimya kwa kusema kuwa Marekani ina nafasi ya kuepusha vita na Putin (Russia). Jambo la kwanza wanalopaswa kufanya Wamarekani ni kukiri na kukubaliana na nukta ya msingi ya Putin (Russia), ambayo serekali ya Russia imeiweka wazi kwa zaidi ya miaka 25 sasa. Nukta yenyewe ni kuwa Russia hawataki majeshi ya Marekani, mizinga ya Marekani, na majeshi ya NATO kwenye mpaka wake na Ukraine (Mashariki ya Ukraine kwenye majimbo yaliyotangazwa huru na Putin).
Colonel Douglas akaendelea kusema: Kiukweli kabisa hata sisi Wamarekani hatukuyataka majeshi ya Russia na mizinga yake ndani ya Cuba, Putin naye hataki mambo hayo mashariki mwa Ukraine. Lazima tukubali madai hayo. Tuache kujifanyisha kuwa madai hayo hayana maana (ni ya kipuuzi).
Zaidi ya hapo Colonel huyo kasema Marekani haina uwezo wa kumfanya chochote Putin dhidi ya uvamizi wake.
===
Col. Macgregor: Biden refused to acknowledge what's important to Putin, now he has to watch the invasion
Retired US Army Col. Douglas Macgregor told "Tucker Carlson Tonight" that he was concerned President Biden didn't take Putin seriously enough.www.foxnews.com
COL. DOUGLAS MACGREGOR: Let me just reiterate something. I, like you and millions of Americans, would prefer that the troops headed to Eastern Europe right now were headed to the Mexican border. But Iโm also very concerned that we find a way to avoid a conflict with Russia. The first thing we have to do is acknowledge that Putinโs basic point, not just his point, the Russian governmentโs point, which theyโve made for 25 years, is valid. They donโt want U.S. forces and missiles and NATO troops immediately across the border in eastern Ukraine. Absolutely. We didnโt want them in Cuba, he doesnโt want them in eastern Ukraine. We should acknowledge that. Stop pretending itโs a nonissue. It is a major issue for them. Letโs acknowledge it and then letโs get down to business and tell them fine, our concern at this point is we donโt want you to proceed west towards the polish border over the Dnieper River in Ukraine.
Kwenye majarida fulan fulan.. inasemekaa Putin ndio mtu wa kuogopwa namba 1 dunian... Nchi yake ni mult nuclear weapons country hamwogop mtu.. labda anachoogopa ni sunctions za kiuchumi .Kipindi yupo huyu jamaa, Putin aliufyataView attachment 2129799
Aliwekwa na Putin Wamarekani wakamshtukia huyo babuKipindi yupo huyu jamaa, Putin aliufyataView attachment 2129799
Ha ha haaTulia wew Ukraine awaonyeshe shoo shenzi putin
Tulia wew vita sio mcheze kama mnavyo dhaniKipindi yupo huyu jamaa, Putin aliufyataView attachment 2129799
Ukweni kivipi wakati mkewe ni wa Slovenia (NATO Member)?Trump Russia ni ukweni maana mkewe ana asili ya ulaya mashariki
Angeogopa sanction za kiuchumi, angeendelea kufanya anayoyafanya?Kwenye majarida fulan fulan.. inasemekaa Putin ndio mtu wa kuogopwa namba 1 dunian... Nchi yake ni mult nuclear weapons country hamwogop mtu.. labda anachoogopa ni sunctions za kiuchumi .
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha humjui Putin wewee . Putin Ni charisma leader. Humiliki jukwaa na meza kwa ufundi wake wa lugha. Rejea meeting yake na trump Helsinki na Japan. Then njooKipindi yupo huyu jamaa, Putin aliufyataView attachment 2129799
Aliufyata wakat ndio alimuweka madarakaKipindi yupo huyu jamaa, Putin aliufyataView attachment 2129799
Sio aliufyata sema muda ulikua haujafika. Hata angekuepo trump kwa upuuzi huu wa nato ukraine ange chezea kichapo tu!Kipindi yupo huyu jamaa, Putin aliufyataView attachment 2129799
Dunia ya tatu tunaendelea kushuhudia yanayoendelea duniani