Colonel Mamadi Doumboya: Rudini na kombe la sivyo mtarudisha hela

Colonel Mamadi Doumboya: Rudini na kombe la sivyo mtarudisha hela

Dabil

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2021
Posts
6,823
Reaction score
15,293
Huyu Mwamba wa Guinea aliyepindua serikali ameaga timu ya taifa lake kuelekea kombe la AFCON na kuwaambia " Rudini na kombe la sivyo mtarudisha hela zote tulizowekeza kwenu"
1640685348065.jpg
 
Kwa uchunguzi wangu mdogo watu wengi watata watata uwezo wa kufikiri huwa mdogo kama si finyu sana.
 
Mwambieni kanali Mamadi kwenye mpira kuna matokeo matatu,hakikisheni.mnafikishia ujumbe huu.
 
Anatafuta popularity kwa Wananchi

Hakuna Nchi iliyowahi kubeba kombe kwa Amri ya Mkuu wa Nchi
 
Back
Top Bottom