Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahah...kimwamba zaidHuyu Mwamba wa Guinea aliyepindua serikali ameaga timu ya taifa lake kuelekea kombe la AFCON na kuwaambia " Rudini na kombe la sivyo mtarudisha hela zote tulizowekeza kwenu"View attachment 2060443
mtazitapika au sioHuyu Mwamba wa Guinea aliyepindua serikali ameaga timu ya taifa lake kuelekea kombe la AFCON na kuwaambia " Rudini na kombe la sivyo mtarudisha hela zote tulizowekeza kwenu"View attachment 2060443
Huo ni msemo wa Mwinyi na sio Ben mkuu.Hawa wetu ,Ben aliwaita kichwa cha mwendawazimu,ila jamaa mbabe uyu
Fuatilia Italy ilipochukua kombe la dunia kwa mara ya kwanza ilikuwaje. Chuma kilikuwa kinaitwa Mussolin. Fuatilia.Anatafuta popularity kwa Wananchi
Hakuna Nchi iliyowahi kubeba kombe kwa Amri ya Mkuu wa Nchi
Fuatilia Italy ilipochukua kombe la dunia kwa mara ya kwanza ilikuwaje. Chuma kilikuwa kinaitwa Mussolin. Fuatilia.
Huyu mwamba hata akitawala milele hiyo nchi yake, ana baraka zangu kabisaMi mwenyewe namkubali,hataki ujinga ujinga wa wanasiasa
Wewe unayetutuma ni nani?!Mwambieni kanali Mamadi kwenye mpira kuna matokeo matatu,hakikisheni.mnafikishia ujumbe huu.
Kutawala miaka thelathini hapana.Muda wa yeye kuondoka ukifika ,aondoke.Ameikomboa nchi,mtu anakaaje madarakani miaka 30