Colonel Mamadou Ndala, DRC’s warrior leader

Colonel Mamadou Ndala, DRC’s warrior leader

Sawa mkuu ila jamaaa alitokea kupendwa sana ww km umeangalia documentary ama ukawasikia wakongo wenyewe watakuambia jamaa alikua mioyoni mwa watu maaana m23 aliwapelekea moto mpaka wakapoteana na viongozi wa kongo wanafaidika na migogoro hii ndo maana mm nasema yule walimla kichwa haya ya kumpandisha cheo ilikua danganya toto tu ilk watu wapoe

Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
Kuna ukweli kwenye maelezo yako, huo mzozo wa Drc una Siri nyingi mno ndani yake.
 
Niliona documentary ya huyu bingwa BBC miaka kadhaa iliyopita na nilikuwa nimesahau jina lake, sasa nimelipata
Huyu aliuliwa na Kabila mwenyewe sababu alikuwa anaenda kuonekana kuwa shujaa wa Congo huku yeye anakula ambiance fasi juu bila shida na hapo ndio ambapo Kabila hakutaka awepo yoyote zaidi yake.
Niliiona hii. Aliniuma sana huyu na jinsi walivyomuua. Mkuu wanadamu watapata shida na kuona aibu sana katika siku ile ya kuhukumu siri za wanadamu. Katika siku ile ya kukutana njiapanda, katika siku ile kukusanyika mbele ya kiti cha Enzi cha Mungu. Watu wanawafanyia wengine mambo mabaya na maovu sana. Mwanadamu ni udongo tunajisahau tu kuwa tunapita juu ya uso wa nchi.
 
Aisee Colonel Mamadou Ndala was more than a commander kifo chake ukitazama wale soldiers wakiwa wanalia ndo utajua alikua mtu wa namna gani
 
Back
Top Bottom