Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Kuna ukweli kwenye maelezo yako, huo mzozo wa Drc una Siri nyingi mno ndani yake.Sawa mkuu ila jamaaa alitokea kupendwa sana ww km umeangalia documentary ama ukawasikia wakongo wenyewe watakuambia jamaa alikua mioyoni mwa watu maaana m23 aliwapelekea moto mpaka wakapoteana na viongozi wa kongo wanafaidika na migogoro hii ndo maana mm nasema yule walimla kichwa haya ya kumpandisha cheo ilikua danganya toto tu ilk watu wapoe
Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app