Binti Maringo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2007
- 2,804
- 96
Mwanakijiji,
Hizo chansi ni za wageni au sisi wenyeji twaweza kudandia mkuu?
Msosi kwa wasomali ama kuna mwenzetu anaandaa kaji mama ntilie fulani... siku nyingi wengine wetu hatujala mihogo ya nazi eti!!!
Kutakuwa na Mama Ntilie wa Kibongo achana na msomali....BBQ kwa kwenda mbele Ijumaa kioni...Easton