Columbus for the 4th of July - R U Coming?

Mwanakijiji,

Hizo chansi ni za wageni au sisi wenyeji twaweza kudandia mkuu?
Msosi kwa wasomali ama kuna mwenzetu anaandaa kaji mama ntilie fulani... siku nyingi wengine wetu hatujala mihogo ya nazi eti!!!

Kutakuwa na Mama Ntilie wa Kibongo achana na msomali....BBQ kwa kwenda mbele Ijumaa kioni...Easton
 
Nilitaka kuwahost watu wachache kwenye suite yangu, we could have some pizza.. do a "live" show and just meet and greet. Mchango kidogo utahitajika (40USD per head). Nimepata watu watano hadi sasa waliokonfirm. Hii itakuwa alasiri hadi jioni kabla ya "magoma motomoto" ya mambo ya "Yekeyeke komoa yekeyeke". Nina uwezo wa kuchukua si zaidi ya watu 20...
 
Wee Mwanakijiji $40 kwa masaa 2-3 hapo unakula nini bwana? Party lenyewe tumeambiwa $10 na breakfast juu....huko ni Columbus, vitu bei cheeeeeeee si mchezo.

Au hiyo $40 ni Pizza, Soda na kulala humo humo mpaka kesho yake? Maana mi siwezi kumaliza Pizza ya dola 40 bwana, better yet, hata ya $5.99

Wewe umefungua Trust fund nini??? Haya bwana.....
 
Wee Mwanakijiji $40 kwa masaa 2-3 hapo unakula nini bwana? Party lenyewe tumeambiwa $10 na breakfast juu....huku ni Columbus, vitu bei cheeeeeeee si mchezo.

Wee Kisura, kwa hiyo una imply Mwanakijiji anataka kuwaingiza watu mjini nini? Lol
 
Wee Mwanakijiji $40 kwa masaa 2-3 hapo unakula nini bwana? Party lenyewe tumeambiwa $10 na breakfast juu....huku ni Columbus, vitu bei cheeeeeeee si mchezo.

Au hiyo $40 ni Pizza, Soda na kulala humo humo mpaka kesho yake? Maana mi siwezi kumaliza Pizza ya dola 40 bwana, better yet, hata ya $5.99

Wewe umefungua Trust fund nini??? Haya bwana.....

sehemu ni fundraising ya KLHN... kwani baada ya July 4th.. we are taking the next step... sasa wanaoniunga mkono wataniunga mkono. Lakini siyo tu msosi, but meet people, kufahamiana, and a good company.. you can not put a price on that.. Yote ni kujitolea... it is a private party. Siyo lengo langu kutengeneza pesa, ila kulimit the number of people ambao wanaweza kuja. Na kama nilivyosema I'll host not more than 20 people hivyo hata mtu akija na 100 baada ya idadi hiyo kutimia siihitaji. Sasa hivi I already got 6 people ambao wote tayari wanakuja kwenye old school. So, I have only 14 spots left kabla sijaconfirm its a go by this weekend.

So kama huwezi hiyo dola 40, its ok sikulaumu ndugu yangu.
 
Au mzee una plans za kuwaleta wale "drop like it's hot" nini?...lol
 
sehemu ni fundraising ya KLHN... kwani baada ya July 4th.. we are taking the next step... sasa wanaoniunga mkono wataniunga mkono. Lakini siyo tu msosi, but meet people, kufahamiana, and a good company.. you can not put a price on that.. Yote ni kujitolea... it is a private party. Siyo lengo langu kutengeneza pesa, ila kulimit the number of people ambao wanaweza kuja. Na kama nilivyosema I'll host not more than 20 people hivyo hata mtu akija na 100 baada ya idadi hiyo kutimia siihitaji. Sasa hivi I already got 6 people ambao wote tayari wanakuja kwenye old school. So, I have only 14 spots left kabla sijaconfirm its a go by this weekend.

.....kumbe ni maswala ya KLHN.....haikuwa lazima, ila ungesaidia watu kama sisi kuweka hako ka line kwenye lile bandiko la kwanza...manake mie nilidhani na pesa hizo twalala humo humo kwenye "Suite" yako!

So kama huwezi hiyo dola 40, its ok sikulaumu ndugu yangu

Mwanakijiji bwana! Relax!!!! Hata Bilioneas with all the money in the world, wanakupa $$$ wakitaka kujua pesa ni ya nini na inatumikaje, regardless na kiasi unachoomba! Hata kama ni $40 tu, itakuwa mi Kisura? Haukuwa clear, manake nilishituka na kujiuliza Pizza gani hiyo ya dola arubaini.....nikajua tu kuna namna hapa.
 
.....kumbe ni maswala ya KLHN.....haikuwa lazima, ila ungesaidia watu kama sisi kuweka hako ka line kwenye lile bandiko la kwanza...manake mie nilidhani na pesa hizo twalala humo humo kwenye "Suite" yako!

of course I won't mind some "volunteers" kupumzika hadi kunakucha... as long as hawakoromi.

Mwanakijiji bwana! Relax!!!! Hata Bilioneas with all the money in the world, wanakupa $$$ wakitaka kujua pesa ni ya nini na inatumikaje, regardless na kiasi unachoomba! Hata kama ni $40 tu, itakuwa mi Kisura? Haukuwa clear, manake nilishituka na kujiuliza Pizza gani hiyo ya dola arubaini.....nikajua tu kuna namna hapa.

Ndugu yangu nimekupata ningekuwa clear.. nadhani sasa niko clear.. niliandika wazo liliponijia tu.. na baadhi ya watu nilikuwa tumeshazungumza pembeni.
 
Nilitaka kuwahost watu wachache kwenye suite yangu, we could have some pizza.. do a "live" show and just meet and greet. Mchango kidogo utahitajika (40USD per head). Nimepata watu watano hadi sasa waliokonfirm. Hii itakuwa alasiri hadi jioni kabla ya "magoma motomoto" ya mambo ya "Yekeyeke komoa yekeyeke". Nina uwezo wa kuchukua si zaidi ya watu 20...

Mimi nitakuwepo and you can count my 40$.
Natazamia kuanza safari jumamosi asubuhi.
Hio suite inaruhusu mtu na jiko ama ni ma-bachelor tu?
 
njoo na jiko lako ndugu yangu... wote mnakaribishwa. Itakuwa mahali pa kukutana na kufahamiana na kula pizza na vipapatio vya kuku! Lakini I need confirmation kwa anayekuja by Jumatatu ili namimi niconfirm.
 
Shukran babuu hamna noma...tutakuwepo na unaeza confirm.
 
pouwa... anayetaka kuja... tumia link ya klhnews na ingia mahali pa donate na ingiza kiasi hicho cha 40USD kamili. Anything above that or below that itakuwa ni sehemu ya mchango kwa KLHN.
 
Nimekupata mkuu lakini umeleta paradox of sorts na hio statement ya "above
that or below that"....nadhani ikiwa below ichukue kama mchango kwa KLH na
ikiwa above toa 40$ ya mchango na nyongeza yoyote inakua mchango kwa KLH....mweneywe nilikua nawaza kukubwagia 50$...je utaigawa 40- 10 ama yote hamsini itazama KLH na tukifika Ohio itabidi nitoe 40 nyengine?

Hebu clarify for me maana unajua leo ijumaa na nd'o siku ya mshiko!!!!
 
Duh.. na uzee huu. Nina maana mtu akitoa below 40 utakuwa ni mchango kwani kuna watu wanachangia kuanzia dola 5, 15 n.k na wapo wanaochangia zaidi ya 40 kila wanapopata nafasi. Sasa ili nisichanganyee na michango ya kawaida ya kuenesha KLHN ndio maana nimesema 40 ni kwa ajili ya hiyo "A Meeting of Friends". Sasa atakayetoa zaidi ya hapo hiyo balance itaenda moja kwa moja kwenye KLHN operating fund lakini ile 40 itakuwa ndiyo ya function yetu. Hii ili kila mmoja atakayekuja atakuwa amechangia exactly 40 kwa ajili ya function, nothing less or more.

Sijui ndio nimejichanganya zaidi...?
 
Hapo safi zaidi!Nimekupata.
 
mbona AB-Tichaz amenipata? labda kwa sababu ni "Ticha"? Nitarudia tena poleple kwa faida wengine..
 
Back
Top Bottom