Combi ya HGL ina fursa gani huko mbele?

Combi ya HGL ina fursa gani huko mbele?

1) unaweza kuwa mwalimu wa history , language au geography ita -depend mainly with teaching subjects ambazo utaamua kuzichukua pindi ukiwa chuo of course utanufaika sana as you can see in previous teaching jobs that was announced in April i think walimu wa kingereza wengi wamechukuliwa so the choice is yours

2) unaweza kuwa mwanasheria i have got lots of friends who were doing Hgl back then in Advance level ambao later on walifanya sheria wakiwa chuo and now they're living their fullest life as lawyers .

3 ) kuna jamaa hapo juu kasema unaweza kuja kuwa mwanadiplomasia mzuri if lucky will be on your side who knows may be one day ukaja kuwa balozi wa tz somewhere [emoji4]

4) if you will choice to keep up with english language still you can do hundred of things even if it happens you dont get a job in future coz unaweza kuwafundisha watu wanaotoka kujifunza kiswahili , i have one friend who is doing thing currently tho aint sure if he is making enough but at least he's getting something.

- unaweza pia kuwafundisha wa tanzania wenzio kingereza coz English is still a problem in our country so you can use it as an opportunity.

Lakini kama vyote utaona havipo katika upande uupendao basi nakushauri uachane nayo hiyo combination maana mwenyewe umeona wengi waliosomea hii wameishia katika ualimu unaweza kuwa wakuajiliwa au wakujiajili hivyo kama kuwa mwalimu siyo passion yako basi achana nayo kabisaaa.

Naongezea hapa, akisoma HGL advance maana yake chuo kikuu atasoma course zote za social sciences (sayansi ya jamii) pia anaweza kusoma baadhi ya course za biashara ENDAPO alipata pass ya hesabu kwenye matokeo yake ya kidato cha nne;

Ikumbukwe kuwa; mwanafunzi anapo omba baadhi ya course chuo kikuu matokeo yake yatahusishanishwa na matokeo ya kidato cha nne

Nitataja course chache randomly:-

1.ICT- information communication technology (hesabu lazima awe amepata wala D kidato cha nne)
2.Sheria
3.Community Development (atafanya kazi kwenye mashirika ya ndani na nje mfano miradi ya USAID n.k ama atakuwa afisa maendeleo)
4.Sociology/ social work (afisa ustawi hawa wanasoko sana saizi)
5. Psychology guidance and counseling (wanasoko pia)
6. Human Resources Management
7.Health system management (katibu afya-inatolewa Mzumbe university) sharti apate division I kali matokeo ya kidato cha sita
8.Procurement
9. Ualimu wa history& geography au language &geography
10. International relation (hawa wanafanya kazi wizara ya mambo ya nje) n.k n.k

Course na fursa ni nyingi inategemea yeye analengo gani na chaneli zake
 
Uzi ufungwe umemaliza kila kitu .
 
Back
Top Bottom