Combi ya HGL ina fursa gani huko mbele?


Naongezea hapa, akisoma HGL advance maana yake chuo kikuu atasoma course zote za social sciences (sayansi ya jamii) pia anaweza kusoma baadhi ya course za biashara ENDAPO alipata pass ya hesabu kwenye matokeo yake ya kidato cha nne;

Ikumbukwe kuwa; mwanafunzi anapo omba baadhi ya course chuo kikuu matokeo yake yatahusishanishwa na matokeo ya kidato cha nne

Nitataja course chache randomly:-

1.ICT- information communication technology (hesabu lazima awe amepata wala D kidato cha nne)
2.Sheria
3.Community Development (atafanya kazi kwenye mashirika ya ndani na nje mfano miradi ya USAID n.k ama atakuwa afisa maendeleo)
4.Sociology/ social work (afisa ustawi hawa wanasoko sana saizi)
5. Psychology guidance and counseling (wanasoko pia)
6. Human Resources Management
7.Health system management (katibu afya-inatolewa Mzumbe university) sharti apate division I kali matokeo ya kidato cha sita
8.Procurement
9. Ualimu wa history& geography au language &geography
10. International relation (hawa wanafanya kazi wizara ya mambo ya nje) n.k n.k

Course na fursa ni nyingi inategemea yeye analengo gani na chaneli zake
 
Uzi ufungwe umemaliza kila kitu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…