Combination ya Nape, Makamba na Mwigulu nchini Dubai sina imani nayo kabisa

Kama inafaa wauze tu Ili tugawane kila MMOJA chake!!jeshi limekaa KIMYA,The state nayo imeparalyse Baada ya kutukosea watz kwa kumteua kichaa!!Sasa wameisusa nchi na wahuni wame take advantage ya makosa yao!!
Hata wakiuza hutagawiwa kitu Sana Sana na wewe utauzwa.
 
Hao wanakutana mara nyingi kuliko walivyokutana Dubai. Na kikubwa hapa si watu na majina yao. Watu na majina mtabadilisha sana. Muhimu ni kuwaondosha ccm madarakani make itaondoka na hii mifumo yake ya ovyo!!
 
Taifa la malalamiko 😂😂😂😂

Ova
 
Oligarchy hao. Ni ngumu kuwaodoa, they’ll kill you. Tuzoee tu. Kama Dkt Magufuli alikufa wewe nani??? Ndiyo maana Mama kaona isiwe tabu. Nchi hii ilishatekwa kitambo na hao oligarchy ambao kama unakumbuka walipoazimisha kifo cha Baba yake Nape ilikuwa ni kujipambanua kuwa wao ndiyo wenye nchi na ukizingua wanakuua.
 
Kwa ushahidi upi?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Unasikia mi hai hawanitishi!!jpm alikosea kupambana nao majukwaani Mimi napambana nao KIMYA KIMYA hulu nacheka nao wala sikemei na kumfokea mtu!!YAANI silence that kills slowly!!wanipe Mimi waone moto wangu!!sileti Sasa za majukwaani za kuwananga YAANI nawasifu majukwaani halafu nawashughulikia sirini KIMYA KIMYA!!!
 
Nasema hivi kwa sababu kadhaa, kwanza waliowai mtusi nae akawasamehe ila walimtusi vibaya ingawa aliwasamehe.
Naomba kukuuliza swali dogo,
Wewe ulizisikiliza zile voice notes, kuna tusi lolote ulilisikia likitamkwa?.

I'm not sure na jinsia yako kama wewe ni KE, then tutakuvumilia, ila kama ni ME, ni aibu kwa mwanaume mzima kila siku kutwa kucha ni kukalia umbea na majungu kwa kuleta threads za umbea, uongo, fitna na majungu!.

Badilika, karma pia huwa inawashughulikia watu wa type yako.
P
 
ACHA WAHUNI WATUNYOOSHE, NI WAKATI WAO NA HAKUNA WA KUWAZUIA.
 
hivi vimishahara vyenu vinawanyima maarifa sana.
Kwako wewe huu uhuni na ushamba wa kufanya biashara barabarani unaona ni ujanja?? Ndiyo maana Sasa serikali makini omewafurusha mrudi kwenu Nyambiti huko mkalime
 
Hapo ndio ujue maana ya Gori la mkono aka kekundu keusi!
Manyani wamesusiwa shamba!
+ Bashe, jamaa wameungana kupiga pesa za umma vizuri, umeowahi kuona watu vivutio vipo Tanzania lakini onyesho lipo Uarabuni?
Nd
 
Shida ya Mtoa Post ajui anachoandika... Maonyesho hayo ya Dunia Exo 2020 Kwanza jua hayomaonyesho sio mageni sema kwakuwa KIKOSI Kazi cha Nguvu chini ya Mzalendo namba Moja Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amewaongoza baadhi ya Mawaziri wa kisekta kwenda kuitangaza Tanzania. Sasa chukua hii ndani ya miaka 4 ijayo zaidi ya Ajira 200,000 zinazarishwa Tanzania kupitia fursa zilizopatikana katika hayo maonyesho pia tutavuna zaidi ya Tirioni 17....Sasa sijajua upigaji wao upo watu. Penda kuheshimu watu wanaokutuma waeleze ukweli usiwe kama Nyumbu au wafuasi wa Zimeridi
 
historia yahawa vijana hamuijui kwani kundi lililowalea kuwakuza hadileo halifahamiki !!! Linafahamika kikubwa hapa akina zito wabadilike waungane kudai katiba MPYA basi
 
Umesema kitu cha maana sana. Makamba nape na mwigulu ni gang of three. Wote ni wapinga maendeleo na wapigaji. Magufulists wajiandae mapambano na wasaliti wa fikra za kijamaa ndani ya ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…