Combination ya Nape, Makamba na Mwigulu nchini Dubai sina imani nayo kabisa

Combination ya Nape, Makamba na Mwigulu nchini Dubai sina imani nayo kabisa

Waacheni wale muda wao huu.. Nchi ni mali yao wameirithi toka kwa mababa zao
 
Naomba kukuuliza swali dogo,
Wewe ulizisikiliza zile voice notes, kuna tusi lolote ulilisikia likitamkwa?.

I'm not sure na jinsia yako kama wewe ni KE, then tutakuvumilia, ila kama ni ME, ni aibu kwa mwanaume mzima kila siku kutwa kucha ni kukalia umbea na majungu kwa kuleta threads za umbea, uongo, fitna na majungu!.

Badilika, karma pia huwa inawashughulikia watu wa type yako.
P
Sio lazima usome nyuzi zangu kibwengo ww mtu wa kujipendekeza kwa watawala HIV mkeo karudi au bado watasha wanafanya Yao.?
 
Sio lazima usome nyuzi zangu kibwengo ww mtu wa kujipendekeza kwa watawala HIV mkeo karudi au bado watasha wanafanya Yao.?
Wanawake wakiwa wambea ni haki na halali Yao, mwaume unapokuwa mbea unatia kiny..!. Kama hapa sasa unaleta mambo ya wife wangu ya nini kama sio umbea?. Kwani ni wewe huwa unawashikia mguu hao watasha ?.
Umbea kwa wanaume haupendezi kuleta hoja za MMU humu kwenye serious issues. No matter how stupid you are, please stop this nonsense!.

And also you should stop! Uume wangu unaujua nimekwambia usisome nyuzi zangu maana zaweza gusa mabahasha zikakuletea kinyaa kumbuka ninao wagusa wanakuweka mjini pale mkeo hasipotoa matumizi, kwa kukupa vijitangazo vya kuwalemba lemba
 
Kimsingi watu hawa walishapotea Sasa Wana kuja kwa Kasi Ili kuhakikisha kundi la Magufuli Bashiru na polepole linapotea kabisa nchini Sasa je, hilo kundi nalo litakubali?
Nani kakwambia walishapotea? kutesa huwa ni kwa zamu, Nani asiyejua umahili wa kazi ya Nape na January ndani ya CCM? Nani asiyejua January alikuwa no 3 kwenye mbio za kugombea urais kupitia CCM ?

Njoo tupigania katiba mpya, wenzako haya tulishayajua kitambo sana kwamba 2030 nani anafuatia acha kulalamika.
 
Najua ntashambuliwa sana, ila kwa kifupi combinations ya Nape, Mwigulu na Makamba ndani ya Dubai Sina Imani nayo kabisa.

Kwanini nasema hivyo?

Historia za hawa vijana wenzetu ziko wazi na hakuna anae jua yakuwa wapo tayari kuitwa mawaziri wastaafu mpaka hapo walipo?

Kimsingi hawa watu Bado Wana zile element za kutaka madaraka MAKUBWA kuliko haya waliyonayo kwa Sasa na binafsi najua Makamba na Nape Nnauye wana kazi ya kuprove Magufuli wrong kwa Kila jambo walilolifanya nae enzi hizo.

Nasema hivi kwa sababu kadhaa, kwanza waliowai mtusi nae akawasamehe ila walimtusi vibaya ingawa aliwasamehe.

Sasa fursa ya Makamba na Nape kukutana. Dubai kwao ni njia ya kujijenga kisiasa na kuona furssa ya kuiuza nchi ya Tanzania kwa ajili wao kujiandaa kutawala Tanzania mmoja wao anaamini anayo nguvu kubwa sanaaa ndani ya CCM ya kufanya kuwa Rais, mwingine kwa Sasa msio jua yeye anajipanga kuwa Waziri Mkuu baada ya Samia.

Kimsingi watu hawa walishapotea Sasa Wana kuja kwa Kasi Ili kuhakikisha kundi la Magufuli Bashiru na polepole linapotea kabisa nchini Sasa je, hilo kundi nalo litakubali?

Kimsingi uwepo wao Dubai sidhani kama una uzalendo ndani yake zaidi wanajiandaaaa kuitawala Tanzania ila wenye macho tumeisha ona.

Nape na sheria mbovu ya habari,Makamba na mkatatiko wa umeme Kila siku na mwiguru na ToZo zake hawa ni...
ccm mtauana mwwka huu
 
Acha kuwapaka matope...

Aliyepewa mheshimu,, riziki yake ni pana... By stara thomas

Tunalaumu sana wengi kwa vile keki ya taifa haipo upande wetu...
 
Back
Top Bottom