Memento
JF-Expert Member
- Jun 13, 2021
- 4,423
- 9,986
Sio siri tena kuwa kuna combination ya Zitto na January kwenye wizara ya nishati.
January aliteuliwa kuwa waziri wa nishati, zitto alisema ni teuzi nzuri na sasa tutashuhudia mabadiliko makubwa sana ya nishati nchini ambayo hatukuwahi kuyaona.
January aliunda bodi mpya ambayo wengi waliona haiko sawa, zitto akafanya back-up kuwa bodi ile ni nzuri sana na mwanza wa Tanesco mpya na waziri January akashukuru.
Tuliaminishwa ni mwanzo wa Tanesco mpya yenye kusheheni wabobezi.
Ghafla umeme ukaanza kuwa shida
January akasema tatizo ni maintenance zilikuwa hazifanyiki awamu ya 5, zitto akatoa back up Kama kawaida. Hapo uzuri wa management na bodi mpya ukasahaulika.
Raisi katoka hadharani na kusema tatizo lipo kwenye uzalishaji, safari hii January akapiga kimya maana alishatoa statement tofauti hapo kabla.
Zitto akaingia Kati kutetea kuwa awamu y 5 ndio tatizo, Hadi hapa ile bodi ya wataalamu ambayo tuliambiwa ni Tanesco mpya imesahaulika.
Kwa namna yoyote ile Kuna Jambo la makusudi limeandaliwa kiustadi na hatimaye sasa tushaminishwa kuwa umeme wa maji haufai.
Ukame umetokea ghafla, kina cha maji kimepunguaa ghafla.
Hii combination ya Zitto na January ni Kama ile ya Xavi na Iniesta. Tusubiri matokeo