Combination ya Zitto na January Makamba

Combination ya Zitto na January Makamba

Memento

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2021
Posts
4,423
Reaction score
9,986
Sio siri tena kuwa kuna combination ya Zitto na January kwenye wizara ya nishati.

January aliteuliwa kuwa waziri wa nishati, zitto alisema ni teuzi nzuri na sasa tutashuhudia mabadiliko makubwa sana ya nishati nchini ambayo hatukuwahi kuyaona.

January aliunda bodi mpya ambayo wengi waliona haiko sawa, zitto akafanya back-up kuwa bodi ile ni nzuri sana na mwanza wa Tanesco mpya na waziri January akashukuru.

Tuliaminishwa ni mwanzo wa Tanesco mpya yenye kusheheni wabobezi.

Ghafla umeme ukaanza kuwa shida

January akasema tatizo ni maintenance zilikuwa hazifanyiki awamu ya 5, zitto akatoa back up Kama kawaida. Hapo uzuri wa management na bodi mpya ukasahaulika.

Raisi katoka hadharani na kusema tatizo lipo kwenye uzalishaji, safari hii January akapiga kimya maana alishatoa statement tofauti hapo kabla.

Zitto akaingia Kati kutetea kuwa awamu y 5 ndio tatizo, Hadi hapa ile bodi ya wataalamu ambayo tuliambiwa ni Tanesco mpya imesahaulika.

Kwa namna yoyote ile Kuna Jambo la makusudi limeandaliwa kiustadi na hatimaye sasa tushaminishwa kuwa umeme wa maji haufai.

Ukame umetokea ghafla, kina cha maji kimepunguaa ghafla.

Hii combination ya Zitto na January ni Kama ile ya Xavi na Iniesta. Tusubiri matokeo

Screenshot_20211119-085021_1.jpg
Screenshot_20211119-085000_1.jpg
 
Twende na facts na siyo mihemko.

Umefanya utafiti mabadiliko ya tabia ya nchi na uzalishaji wa umeme wetu?

Je ni kweli kwamba awamu ya 5 walikuwa hawafanyi maintanance ya miuondombinu ili kumfurahisha rais wa awamu ya 5?
 
Twende na facts na siyo mihemko.

Umefanya utafiti mabadiliko ya tabia ya nchi na uzalishaji wa umeme wetu?

Je, ni kweli kwamba awamu ya 5 walikuwa hawafanyi maintanance ya miuondombinu ili kumfurahisha rais wa awamu ya 5?
Mkuu kwa upole sana na unyenyekevu mkubwa, nakuuliza wewe ni mgeni hii nchi?

Wakati tunaingia mkataba na Dowans unajua kuoizuka propaganda zipi?

Muda utasema
 
Twende na facts na siyo mihemko.

Umefanya utafiti mabadiliko ya tabia ya nchi na uzalishaji wa umeme wetu?

Je ni kweli kwamba awamu ya 5 walikuwa hawafanyi maintanance ya miuondombinu ili kumfurahisha rais wa awamu ya 5?
Kweli!
 
Kuna nchi tu jirani swala la kukatika umeme ni historia! je nao wanaogopa kutumbuliwa?

2016 mvua zilichelewa mbona hatukusikia visingizio Kama sasa?

Hawa ni vijana wanajiona wanauwezo mkubwa wa kusimamia Mambo kumbe hovyo tu.

Angalia Zitto alikuwa Mbunge wa Jimbo moja kule Kigoma, muda ukaashi wa Ubunge hakuna alichofanya,akaona Waha watamtosa.

Akaamua kuhama kwenda kugombea Kigoma mjini na ndo akawa Mbunge.

Leo muulize alifanya nini cha maana, hakuna mapaka wakamtosa.

Ni wajuajijuaji tu hawana lolote.
 
Twende na facts na siyo mihemko.

Umefanya utafiti mabadiliko ya tabia ya nchi na uzalishaji wa umeme wetu?

Je ni kweli kwamba awamu ya 5 walikuwa hawafanyi maintanance ya miuondombinu ili kumfurahisha rais wa awamu ya 5?
Ukame wenyewe umetokea ghafla na maji yakaporomoka ghafla.

Tusubili matokeo tu.

Seth yupo nje tuakubaliana nae tu IPTL ianze kazi.
 
Back
Top Bottom