Combination ya Zitto na January Makamba

Combination ya Zitto na January Makamba

Hahaha mutawapenda, hapo kuna mmoja ni mfalme na mwingine ni mpiga zumari

Huyu mpiga zumari hafanyi hivyo bure, ndio maana sometimes anakubali kujidhalilisha ili apate chechote.
Pesa za January zinaliwa kizembe sana
 
Maintenance inafanyika kwa wakati mmoja nchi nzima?
Twende na facts na siyo mihemko.

Umefanya utafiti mabadiliko ya tabia ya nchi na uzalishaji wa umeme wetu?

Je ni kweli kwamba awamu ya 5 walikuwa hawafanyi maintanance ya miuondombinu ili kumfurahisha rais wa awamu ya 5?
 
Sio siri tena kuwa kuna combination ya Zitto na January kwenye wizara ya nishati.

January aliteuliwa kuwa waziri wa nishati, zitto alisema ni teuzi nzuri na sasa tutashuhudia mabadiliko makubwa sana ya nishati nchini ambayo hatukuwahi kuyaona.

January aliunda bodi mpya ambayo wengi waliona haiko sawa, zitto akafanya back-up kuwa bodi ile ni nzuri sana na mwanza wa Tanesco mpya na waziri January akashukuru.

Tuliaminishwa ni mwanzo wa Tanesco mpya yenye kusheheni wabobezi.

Ghafla umeme ukaanza kuwa shida

January akasema tatizo ni maintenance zilikuwa hazifanyiki awamu ya 5, zitto akatoa back up Kama kawaida. Hapo uzuri wa management na bodi mpya ukasahaulika.

Raisi katoka hadharani na kusema tatizo lipo kwenye uzalishaji, safari hii January akapiga kimya maana alishatoa statement tofauti hapo kabla.

Zitto akaingia Kati kutetea kuwa awamu y 5 ndio tatizo, Hadi hapa ile bodi ya wataalamu ambayo tuliambiwa ni Tanesco mpya imesahaulika.

Kwa namna yoyote ile Kuna Jambo la makusudi limeandaliwa kiustadi na hatimaye sasa tushaminishwa kuwa umeme wa maji haufai.

Ukame umetokea ghafla, kina cha maji kimepunguaa ghafla.

Hii combination ya Zitto na January ni Kama ile ya Xavi na Iniesta. Tusubiri matokeo

View attachment 2015969View attachment 2015970

Hao wote ni makuwadi na madalali. Ajabu sana wako kwenye rada za kuongoza jumba jeupe wkati ujao
 
🐒
images (1).jpeg
 
Kuna kitu kinaandaliwa na Makamba kitu ambacho kama Rais hatastuka Watanzania tutalizwa kilio ambacho ni kikubwa sana

Makamba alisema tatizo la umeme ni mitambo kutofanyiwa matengenezo kwa mda mrefu kwa watumishi kuogopa kuzima umeme kwa ajili ya matengenezo eti JPM angewatumbua.

Makamba akamwita Matarajio na kumpiga mkwala kwamba kwa nini anatangaza kuwa kuna tatizo llama upungufu wa maji katika mabwawa ya umeme wakati hakuna tatizo hilo

Makamba bila aibu anasema nchi yote ya Tz hakuna mtambo wa kubeba vitu vizito.

Mama najua nimempa mchawi mtoto akulelee lakini huyo mchawi Jana aibu lazima atamuua mtoto.

Bora uendelee kutukanwa mitandaoni na Kigogo kulikoni kukwepa kutukanwa na huyo kigogo ambae atakuletea aibu kubwa.

Combination ya Makamba ni yeye Makamba, Liz1 Nape na Zitto. Kwa hii combination mama unajua kama hujui.
 
Sio siri tena kuwa kuna combination ya Zitto na January kwenye wizara ya nishati.

January aliteuliwa kuwa waziri wa nishati, zitto alisema ni teuzi nzuri na sasa tutashuhudia mabadiliko makubwa sana ya nishati nchini ambayo hatukuwahi kuyaona.

January aliunda bodi mpya ambayo wengi waliona haiko sawa, zitto akafanya back-up kuwa bodi ile ni nzuri sana na mwanza wa Tanesco mpya na waziri January akashukuru.

Tuliaminishwa ni mwanzo wa Tanesco mpya yenye kusheheni wabobezi.

Ghafla umeme ukaanza kuwa shida

January akasema tatizo ni maintenance zilikuwa hazifanyiki awamu ya 5, zitto akatoa back up Kama kawaida. Hapo uzuri wa management na bodi mpya ukasahaulika.

Raisi katoka hadharani na kusema tatizo lipo kwenye uzalishaji, safari hii January akapiga kimya maana alishatoa statement tofauti hapo kabla.

Zitto akaingia Kati kutetea kuwa awamu y 5 ndio tatizo, Hadi hapa ile bodi ya wataalamu ambayo tuliambiwa ni Tanesco mpya imesahaulika.

Kwa namna yoyote ile Kuna Jambo la makusudi limeandaliwa kiustadi na hatimaye sasa tushaminishwa kuwa umeme wa maji haufai.

Ukame umetokea ghafla, kina cha maji kimepunguaa ghafla.

Hii combination ya Zitto na January ni Kama ile ya Xavi na Iniesta. Tusubiri matokeo

View attachment 2015969View attachment 2015970

Wacheni wana Galanos Secondary School wenzangu. Proud of you guys!
 
Zitto ni makamba aliyechangamka.
Ni wapigaji na madalali.
Safari hii CCM wajipange kupigana mabomu, wapigaji watapiga pesa mpaka senti ya mwisho.
 
Back
Top Bottom