Huwa nawashangaa sana wasanii wa vichekesho aka comedy.
Wanapokuwa wakiigiza kama wanawake! Hivi huwa wanajisikiaje? Inaamaana hakuna wanawake wanaoweza kumudu uhusika katika scene hizo?
Wanavaa madira, na kuweka makalio bandia na kujichetua kikekike! Khaaaa!
Kama mwanaume nashauri mshike nafasi zenu, kwani kama kipaji kipo kipo tu, tutacheka!
Kumbuka kuchukua tahadhali uwe salama hadi hili janga la COVID-19 lipite na tubaki salama.
Mungu ibariki Tanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app