Comedians mnafeli wapi?

Comedians mnafeli wapi?

Ulishawahi kumuona baba yako amevaa kama mwanamke?

Au baba yako atafurahi akikuona umevaa kama mwanamke?

Watu kama nyie kwenye Mada hizi huku ndo mnapokimbiliaga, mnaanza kuuliza vitu binafsi ili hapa nikikujibu "ndio" uanze kubwabwaja matusi. Hapa tunaongelea comedians baba kaingiaje?

Hivi Joti si anaigiza Uzee je akili zake ni za kizee? Kuna muda Dulivani anaigizaga kama mtoto mbona hamsemagi Ana akili za kitoto? Ila akiigiza kama mwanamke ndo anakuwa shoga. Yaaani mna double standards za ajabu Sana. Punguza wivu mkuu na uondoe Hiyo "Toxic Masculinity" attitude uliyokuwa nayo.
 
Kwani baba yake anafanya kazi za Sanaa? au hao wanaigiza Kama wanamke unazani hawana familia? Na unazani awajui kwamba mzee yupo kazini? Acha kuforce vitu ambavyo havipo au una access na huo ushoga maana unavyon'gan'gania unanishangaza Sana.

😂😂😂😂 Jamaa kakang'ania kweli
 
Unachokikataa kwako wenzio wanakikeshea....kuna watu ndo aina ya comedy wanapenda so usiangalie tu kwa upande wako
 
Watu kama nyie kwenye Mada hizi huku ndo mnapokimbiliaga, mnaanza kuuliza vitu binafsi ili hapa nikikujibu "ndio" uanze kubwabwaja matusi. Hapa tunaongelea comedians baba kaingiaje?

Hivi Joti si anaigiza Uzee je akili zake ni za kizee? Kuna muda Dulivani anaigizaga kama mtoto mbona hamsemagi Ana akili za kitoto? Ila akiigiza kama mwanamke ndo anakuwa shoga. Yaaani mna double standards za ajabu Sana. Punguza wivu mkuu na uondoe Hiyo "Toxic Masculinity" attitude uliyokuwa nayo.
mtoto wako wa kiume akivaa kama mwanamke utakenua meno kuchekelea???
 
We jamaa hivi unajielewa?? Mimi nimejiongelea mimi hanichekeshi ndio maana siangalii tena comedy zake.

Sasa kama hanichekeshi mimi kwani dunia nzima wana interests kama zangu?? Kuna watu wanapenda pigo za kike kike kama WEWE inawezekana mko wengi..

Personal opinion yangu sio ya Taifa wala dunia na sijamshawishi mtu asiangalie .
Ungekaa nalo moyoni mwako, huo ndio wivu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila wabongo kwa kujifanyaga "watakatifu" huku mitandaoni. I know people like you mnaanzisha nyuzi kama hizi ili kutengeza image flani ya uanaume au "righteousness" na kupata "popular opinion" kutoka kwa public.

Yaaani mtu kaamua mwenyewe Kucheza km demu na siyo demu kweli in fact Unakuta Ana mke wake ameoa kabisa ila wewe inakuuma kweli yaaani. Sasa si Maisha yake wewe inakuuma Nini? [emoji23][emoji23] Kama ingekuwa haikuumi ungeignore tu usingekuja Kufungua Uzi hapa.

Calm down. Usijisahaulishe dhambi zako kwa matendo ya mtu Mwingine na nikukumbushe tu don't judge what you don't know.
Vipi ukimkuta mwanao wa kiume btn 4-10yrs anaigiza kama binti utajiakiaje? Sema kweli mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waambie jamaa wa aina ya mtoa mada wanakera ile mbaya kuigaza kwake Kama mwanamke wewe inakukera Nini Kama anapata ugali wa kill siku kupitia hiyo style we ninani mpaka umpangie.Neno ushoga limewakaa kichwani mpaka wanashindwa kufikiri.
Mkuu sijataja ushoga nadhani. Au ndio biashara yako? Maadili yanaharibika kutokana na mambo kama hayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaongelea fasihi ya form two kumbe mkuu, mi nikadhani unauelewa mkubwa kuhusu alichokiandika jamaa, sasa kama wote wakiigiza ukike inamaana kuwa fasihi unayoizungumzia wewe ina portray content za wanawake tu?
Au uniqueness ya msanii mmoja na mwingine ni IPI, au akina Charlie champilin na Mr Bean sio wanafasihi?
Asante sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora uwe masikini wa fedha kuliko kuwa masikini wa kifikra huyo jamaa ana umasikini wa kifikra ndo maana anawaza mambo mabaya huyo Hana tofauti na wale ambao ukiwa tajili basi wewe Freemason au una uza madawa ya kulevya
Mkuu ikiwa utamkuta mwanao mdogo kati ya umri wa miaka 5-10 anajifanya mwanamke utajiskiaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda za Wabongo useme hupendezwi na content zao, lakini sanaa na umuhimu wake kwa jamii unabaki palepale.

Nimekuwekea hao wachache kati ya wengi wanaofanya makubwa na sanaa zao, hapo kuna Tyler Perry, Eddy Murphy na Martin Lawrence.

View attachment 1428325
Angalia performance zao, appearance zao on stage halafu chukua na akina dulivan wa bongo utaelewa kwanini wabongo wanachefua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom