Tea Party
JF-Expert Member
- Oct 5, 2019
- 658
- 1,133
Ulishawahi kumuona baba yako amevaa kama mwanamke?
Au baba yako atafurahi akikuona umevaa kama mwanamke?
Watu kama nyie kwenye Mada hizi huku ndo mnapokimbiliaga, mnaanza kuuliza vitu binafsi ili hapa nikikujibu "ndio" uanze kubwabwaja matusi. Hapa tunaongelea comedians baba kaingiaje?
Hivi Joti si anaigiza Uzee je akili zake ni za kizee? Kuna muda Dulivani anaigizaga kama mtoto mbona hamsemagi Ana akili za kitoto? Ila akiigiza kama mwanamke ndo anakuwa shoga. Yaaani mna double standards za ajabu Sana. Punguza wivu mkuu na uondoe Hiyo "Toxic Masculinity" attitude uliyokuwa nayo.