Nashindwa nikujibu vipi
Kama umesoma O level, kwenye somo la kiswahili, topic FASIHI , wameeleza kila kitu, kuhusu vichekesho,
Sent from my iPhone using JamiiForums
Lakini mwenzio Ana mjengo wa maana Kigamboni, contracts za biashara na kampuni za maana. Wewe unaishi kwa shemeji yako AmanaMimi sasa hivi siwezi kuangalia comedy ya mtu kajipaka makeup awe wa kike..
Joti mwenyewe nilikua namkubali lakini naona kama umri umemtupa na kipaji kimepotea.. yanai anaforce kuchekesha na mamakeup yake..
Ona hili tikiti maji.. hapa tunaongelea mijengo au kuchekesha..Lakini mwenzio Ana mjengo wa maana Kigamboni, contracts za biashara na kampuni za maana. Wewe unaishi kwa shemeji yako Amana
Zikikuchefua yeye zinampunguzia nn huyo Comedian?, Huenda hata hakujui. Kila mtu ashinde mechi zake. Mjini hapa tusipangiane namna ya kutafuta hela.Sipendi comedy za hvyo, zinachefua hasa
Kama hachekeshi mbona anapiga hela ya kuwa na mijengo? Watanzania tumejaa wivu SanaOna hili tikiti maji.. hapa tunaongelea mijengo au kuchekesha..
Kwa hizi akili sidhani kama form 4 ulimaliza
Kama hachekeshi mbona anapiga hela ya kuwa na mijengo? Watanzania tumejaa wivu Sana
Sasa Kama Ni personal opinion unaweka hapa Ili iweje? Endelea kudanga Kama comedians hawakufikishiWe jamaa hivi unajielewa?? Mimi nimejiongelea mimi hanichekeshi ndio maana siangalii tena comedy zake.
Sasa kama hanichekeshi mimi kwani dunia nzima wana interests kama zangu?? Kuna watu wanapenda pigo za kike kike kama WEWE inawezekana mko wengi..
Personal opinion yangu sio ya Taifa wala dunia na sijamshawishi mtu asiangalie .
We jamaa kama unatafuta bwana umekosea njia mimi sifukui mitaro.. labda kama una dada unaweza kuweka namba hapa..Sasa Kama Ni personal opinion unaweka hapa Ili iweje? Endelea kudanga Kama comedians hawakufikishi
Sorry kwa kukuingilia kazi yako mkuu, ila kweli tena sikujua kama ntakugusa wewe. Nisamehe bureZikikuchefua yeye zinampunguzia nn huyo Comedian?, Huenda hata hakujui. Kila mtu ashinde mechi zake. Mjini hapa tusipangiane namna ya kutafuta hela.
Waambie jamaa wa aina ya mtoa mada wanakera ile mbaya kuigaza kwake Kama mwanamke wewe inakukera Nini Kama anapata ugali wa kill siku kupitia hiyo style we ninani mpaka umpangie.Neno ushoga limewakaa kichwani mpaka wanashindwa kufikiri.Ila wabongo kwa kujifanyaga "watakatifu" huku mitandaoni. I know people like you mnaanzisha nyuzi kama hizi ili kutengeza image flani ya uanaume au "righteousness" na kupata "popular opinion" kutoka kwa public.
Yaaani mtu kaamua mwenyewe Kucheza km demu na siyo demu kweli in fact Unakuta Ana mke wake ameoa kabisa ila wewe inakuuma kweli yaaani. Sasa si Maisha yake wewe inakuuma Nini? ππ Kama ingekuwa haikuumi ungeignore tu usingekuja Kufungua Uzi hapa.
Calm down. Usijisahaulishe dhambi zako kwa matendo ya mtu Mwingine na nikukumbushe tu don't judge what you don't know.
Wivu.comKuna yule dogo anaitwa Dulavan anapenda sana udada, very soon watamtoboa ugali