DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,983
- 11,857
KOCHA WA MAKIPA WA SIMBA[emoji881] MBIONI KUJIUNGA NA YANGA SC[emoji617]
Taarifa za ndani kabisa zinasema kuwa Yanga SC [emoji617] inakaribia kumnasa kocha wa zamani wa Simba[emoji881], Mbrazil Milton Neinov[emoji1054] ambaye alikuwa kocha wa magolikipa kipindi cha utawala wa Didier Gomes[emoji1073].
Yanga[emoji617] wanamchukua Mbrazil[emoji1054] huyo kwa ajili ya kuliongezea nguvu benchi la vinara hao wa NBC Premier League.
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app