Ruto unamjua vizuri ama?Ni kiongozi ambaye anatanguliza masilahi ya wananchi siku zote. Kila anachoongea anataja wananchi kama ndiyo waamuzi wa mwisho. Pia anaitaja BBI kuwa haiko kwa ajili ya wakenya bali kwa kikundi fulani cha wachache. Ndiyo maana hayuko pamoja nao, amejitenga baada ya kuona masilahi ya walio wengi hayazingatiwi.
Kila la kheri mh. Ruto.
Kalenjin sio royal tribe? Hebu acheni kuropoka!Simply because he is not from the royal tribe.
Very sad.
lazima K 3 ziunganeKwa hiyo Ruto ana uwezekano mkubwa wa kushinda. Maana anatokea kwenye k mojawapo hapo.
Kila uchaguzi huwa zinatengana na kujiunda upyaIla inaonekana k ya uhuru inajitenga kiaina.
🤣🤣🤣
Only Kikuyus amd kelenjins have ruled Kenya since Independence! Therefore Kalenjin is a royal tribe wacha kutetea hii maneno! Huyo jamaa ni mwizi anyejiita hustler!Kalenjin sio royal tribe? Hebu acheni kuropoka!
Simply because he is not from the royal tribe.
Very sad.