eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Ni kiongozi ambaye anatanguliza masilahi ya wananchi siku zote. Kila anachoongea anataja wananchi kama ndiyo waamuzi wa mwisho. Pia anaitaja BBI kuwa haiko kwa ajili ya wakenya bali kwa kikundi fulani cha wachache. Ndiyo maana hayuko pamoja nao, amejitenga baada ya kuona masilahi ya walio wengi hayazingatiwi.
Kila la kheri mh. Ruto.
Kila la kheri mh. Ruto.