Coming 2022 Election: Ruto Safii

Coming 2022 Election: Ruto Safii

eliakeem

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2009
Posts
17,214
Reaction score
15,853
Ni kiongozi ambaye anatanguliza masilahi ya wananchi siku zote. Kila anachoongea anataja wananchi kama ndiyo waamuzi wa mwisho. Pia anaitaja BBI kuwa haiko kwa ajili ya wakenya bali kwa kikundi fulani cha wachache. Ndiyo maana hayuko pamoja nao, amejitenga baada ya kuona masilahi ya walio wengi hayazingatiwi.
Kila la kheri mh. Ruto.
 
Ruto unamjua vizuri ama?
 
KKK
kalenjine,Kamba na Kikuyu.
huwezi kushinda Kenya kama hujaungana au kuunganisha wafuasi kutoka hizo K3
 
KKK
kalenjine,Kamba na Kikuyu.
huwezi kushinda Kenya kama hujaungana au kuunganisha wafuasi kutoka hizo K3

Kwa hiyo Ruto ana uwezekano mkubwa wa kushinda. Maana anatokea kwenye k mojawapo hapo.
 
Wanamuonea bure tu. Kwani kenya kuna mtu ambaye hajakwiba au hakwibi? wanaendelea na kampeni ya kumchafua, wakati wote wako sawa. Pengine labda Ruto kawazidi maarifa kidogo, ndiyo wanataka kumkomesha.
 
Back
Top Bottom