Coming soon: New Kawe City (Uptown Kawe)

Naambiwa eneo lenyewe limeanza kusafishwa tangu Agosti 10. Bado unaamini ni ndoto?

Kawe hamna eneo la kuweka mradi mkubwa hivi

Unless waseme wanahamisha watu kutoka Mediteraneo , Tanganyika packers, JKT hadi darajani kule karibu na hospitali ya jeshi.
 
Kama miradi yote ingefanikiwa, tungkuwa wa kupigiwa mfano
 
Kawe hamna eneo la kuweka mradi mkubwa hivi

Unless waseme wanahamisha watu kutoka Mediteraneo , Tanganyika packers, JKT hadi darajani kule karibu na hospitali ya jeshi.

Huu mradi na ule aliouweka Pasco wa JF ni mmoja au ni tafauti?
 
Last edited by a moderator:
Naambiwa eneo lenyewe limeanza kusafishwa tangu Agosti 10. Bado unaamini ni ndoto?

Takribani miaka mitatu iliyopita wakazi wa zilizokuwa Magomeni Quarters walidanganywa kwa kupewa fedha kidogo sana kwa ahadi ya kujengwa nyumba za kisasa kwenye eneo hilo ndani ya mwaka mmoja na wao kupewa kipaumbele. Jambo la kusikitisha na kutia hasira baada ya nyumba zile kuvunjwa mpaka sasa hakuna kilichofanyika kwenye eneo hilo mbali ya kugeuzwa kuwa eneo la kupumzika kwa mateja na vibaka na kutupia taka.

Mambo kama yaliyofanyika Magomeni Quarters ni wazi kabisa kuwa ndiyo yatakayotokea kwa eneo la iliyokuwa Tanganyika Packers na zaidi litaishia kuporwa na watawala wasiokuwa na aibu wala chembe ya U-Taifa.

HAKIKA SERIKALI YA CCM NA WATAWALA KWA UJUMLA WANAFAA KULAANIWA KWA MATENDO DHALILI NA YA KILAGHAI WANAYOWATENDEA WANANCHI WA TAIFA HILI.
 
Kidogo niweke kule kwa watani zetu ili tuwaringishie

:high5:

Project ikifanyiwa kazi na siasa zikawekwa kando, basi tutaelekea kuzuri, ajira zitatengenezwa, mapato yatakusanywa.
Usituletee huku Kenya..tayari tumeshuhudia mji wenu kumalizika kwa ndoto, tafadhali naomba musituletee ugonjwa wenu wa ndoto za mchana za CCM huku Kenya.white elephants in Tanzania $ real big things in Kenya
 
Kupitia NHC zitajengwa ila kwa muda mrefu. Labda kama watajikoroga kwenye management ila hakuna shida ya mtaji.
 
Construction worker homes already in place.



















 
.
ESTIM SITE (7/11) RIGHT AND CRJE SITE LEFT.



ESTIM CONSTRUCTION SITE WITH 5 CRANES








CRJE CONSTRUCTION SITE WITH 2 CRANES BUT MANY STILL UNASSEMBLED DOWN THERE. SEE THE PHOTOS












SEE UN ASSEMBLED CRANES



^^ photos taken with a phone, bad quality.​
 
clear photos of the two sites
CRJE SITE


ESTIM SITE

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…