Coming to America ni wangapi mnaikumbuka

what is this? " a photograph" kuna watu wana majibu ya kikuda
 
Nmeitafta hii movie leo baada ya kusoma huu uzi,, sijajutia kabisa matumiz ya mb zang n bonge la movie...anaejua movie nzur km hz anisaidie majina plzzz
 
Jamaa anavyotema mvinyo pale baa...was epic....hahaaa....na yule mke alivyokuwa analia kama mbwa hahaaaaa
 

Zamunda Kingdom
 

Yule Mzee alimsakizia mbwa wa kwenye makochi yule kijana aliyeweka kalikiti kichwani, kweli pesa ni shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…