Thebroker
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 3,334
- 5,829
Hata mm sijabahatika kumuona tenaYule semmi sijamuona kwenye movie nyingine tena baada ya coming to america
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mm sijabahatika kumuona tenaYule semmi sijamuona kwenye movie nyingine tena baada ya coming to america
Yule mhalifu alitaka kuiba pale mgahawaniYule aliye act kama Baba lisa??!!
Baba ake lisa anaitwa John Amos sijui ni mgogo yule?Yule aliye act kama Baba lisa??!!
Your royal penis is clean your highness....hatari bayo mambo wake wanatakiwa kufanya sema nao vichwa vigumu
View attachment 1187181
Wakati huo ukiwa na TV na deki unalipia leseni T-shirt 1,000 kwa mwaka.
View attachment 1187189
James Earl Jones akiwa kama Mfalme Joffre Joffre of Bermuda Kingdom
View attachment 1187181
Wakati huo ukiwa na TV na deki unalipia leseni T-shirt 1,000 kwa mwaka.
View attachment 1187189
James Earl Jones akiwa kama Mfalme Joffre Joffre of Bermuda Kingdom
Sasa hapo sii ni sehemu ya mahaba jamani mkiwa mnakoga pamoja. Wee shauri yako utaachika mapemaHivi wewe huwaga uko serious kabisa na hizi comments zako??
"Goodmorning my neighbours...."View attachment 1187181
Wakati huo ukiwa na TV na deki unalipia leseni T-shirt 1,000 kwa mwaka.
View attachment 1187189
James Earl Jones akiwa kama Mfalme Joffre Joffre of Bermuda Kingdom
View attachment 1187181
Wakati huo ukiwa na TV na deki unalipia leseni T-shirt 1,000 kwa mwaka.
View attachment 1187189
James Earl Jones akiwa kama Mfalme Joffre Joffre of Bermuda Kingdom
Yupo kwenye movie ya sandy waxleHata mm sijabahatika kumuona tena
bonge la movie zamani sana kipindi hko na mjua eddie murphy, michael jackson , tupac na michael dudekhoufView attachment 1187181
Wakati huo ukiwa na TV na deki unalipia leseni T-shirt 1,000 kwa mwaka.
View attachment 1187189
James Earl Jones akiwa kama Mfalme Joffre Joffre of Bermuda Kingdom
View attachment 1187181
Wakati huo ukiwa na TV na deki unalipia leseni T-shirt 1,000 kwa mwaka.
View attachment 1187189
James Earl Jones akiwa kama Mfalme Joffre Joffre of Bermuda Kingdom
Oooo, it is "Going to America", because Eddie Murphy went to America from Bermunda kingdom, he being an eldest prince, with all what he did while in America, he ended up engaged and finally at his suprise got marriage to an American girl named Lisa under protest from his king- father but under his mother influential power to the king. (Woman power).😜
I myself prefer the title "Going to America" to "coming to America"🤣🤣
Ni miaka 30 sasa unaamini!
one of my favorite movie
hata niiangalie mara 100 huwa siichoki
ila pia hadi sasa kwa vijana ina mafundisho mengi sana:
1. kubwa ni Juu ya ndoa
'follow your heart '
2. Tamaa- baba yake binti anawakilisha wazazi wengi wanaoangalia kijana ana utajiri kiasi gani ili aoe binti yake!
3. wazazi tusiwachagulie watoto wachumba tuwasapoti kama mama wa Eddie alivyokuwa anasapoti kijana wake
mwisho wa siku yakiwashinda wakose wa kulaumu bali nafsi zao
4. tusiwe watu wa kujionesha
hata kama tuna mali na nafasi kubwa
tuishi kawaida tu na heshima yako ipo pale pale wala sio lazima ujioneshe ili wakujue wewe ni nani
Eddie hakutaka hizo habari za kujulikana au kujionesha
HILI LIMEWASHINDA WENGI SANA
5. usimwamini mwanamke sana tafuta kujua anahitaji nini
wala sio hela zako
(Japo wapenda hela nao wapo)
nipende mimi Kama mimi jinsi nilivyo na wala si kwa nilichonacho