Coming to America ni wangapi mnaikumbuka

Coming to America ni wangapi mnaikumbuka

Nmeitafta hii movie leo baada ya kusoma huu uzi,, sijajutia kabisa matumiz ya mb zang n bonge la movie...anaejua movie nzur km hz anisaidie majina plzzz
 
Jamaa anavyotema mvinyo pale baa...was epic....hahaaa....na yule mke alivyokuwa analia kama mbwa hahaaaaa
 
Oooo, it is "Going to America", because Eddie Murphy went to America from Bermunda kingdom, he being an eldest prince, with all what he did while in America, he ended up engaged and finally at his suprise got marriage to an American girl named Lisa under protest from his king- father but under his mother influential power to the king. (Woman power).😜
I myself prefer the title "Going to America" to "coming to America"🤣🤣

Zamunda Kingdom
 
one of my favorite movie
hata niiangalie mara 100 huwa siichoki
ila pia hadi sasa kwa vijana ina mafundisho mengi sana:
1. kubwa ni Juu ya ndoa
'follow your heart '
2. Tamaa- baba yake binti anawakilisha wazazi wengi wanaoangalia kijana ana utajiri kiasi gani ili aoe binti yake!
3. wazazi tusiwachagulie watoto wachumba tuwasapoti kama mama wa Eddie alivyokuwa anasapoti kijana wake
mwisho wa siku yakiwashinda wakose wa kulaumu bali nafsi zao
4. tusiwe watu wa kujionesha
hata kama tuna mali na nafasi kubwa
tuishi kawaida tu na heshima yako ipo pale pale wala sio lazima ujioneshe ili wakujue wewe ni nani
Eddie hakutaka hizo habari za kujulikana au kujionesha
HILI LIMEWASHINDA WENGI SANA
5. usimwamini mwanamke sana tafuta kujua anahitaji nini
wala sio hela zako
(Japo wapenda hela nao wapo)
nipende mimi Kama mimi jinsi nilivyo na wala si kwa nilichonacho

Yule Mzee alimsakizia mbwa wa kwenye makochi yule kijana aliyeweka kalikiti kichwani, kweli pesa ni shida
 
Back
Top Bottom