Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
saivi HAMASI hawana CP pia hawana uwexo wa kurusha tena makombora kwelekea Israel hii ni kumaanisha kuna uwezo umewapungukia.Habari kutoka Israel 😄
Mimi Israel hata akiniambia tel Aviv hakuna mbu lazima nikahikishe mwenyewe mana ni waongo sijawahi kuona.
Hawakuiweza Central command ya Hamasi waiweze ya Hezbullah kweli vichaa peke ndio watamini hayo
Toka lini hamas kashindwa kurusha rockets ndani ya israhellsaivi HAMASI hawana CP pia hawana uwexo wa kurusha tena makombora kwelekea Israel hii ni kumaanisha kuna uwezo umewapungukia.
japo vita vinaenda na propaganda ili kutengeneza hofu kwa mpinzani. team za propaganda lazma ziwe vizur.
Wataalama wa vita au majeshi saiv wanajua nani kashikwa pabaya
Ushabiki maandazi, unajigeuza msemaji wa Hezbollah, ingia mtandaoni uone sasaHezbullah huwa hajibu ujinga kama huo, hata Hamasi aliwahi kujibu kama Al shifaa hospital haipo central command yao, alikuwa kimya alitaka dunia nzima waone ujinga wa Israel 😄
nionyesheni habari kama hio kutoka sehemu zingine, si cnn, si bbc, si Si Aljazeera, au Al manar tv ya Hezbullah wamesema central command ya Hezbullah imeshambuliwa.Ushabiki maandazi, unajigeuza msemaji wa Hezbollah, ingia mtandaoni uone sasa
😄 Waulize Asqalani jana tu wamepokea mvua za missilessaivi HAMASI hawana CP pia hawana uwexo wa kurusha tena makombora kwelekea Israel hii ni kumaanisha kuna uwezo umewapungukia.
japo vita vinaenda na propaganda ili kutengeneza hofu kwa mpinzani. team za propaganda lazma ziwe vizur.
Wataalama wa vita au majeshi saiv wanajua nani kashikwa pabaya
Kiongozi wa Hezbollah mh Hassan ana mikwara kama ya Shehe Ponda 😂Hamasi hawakukanusha pale pale nipe dalili.
Pia Hezbullah watajibu lakini kawaida ya Hezbullah anakupiga afu ndio anakupa jibu
dogo hi leo hii hizo Missiles zime land haya ongea linginesaivi HAMASI hawana CP pia hawana uwexo wa kurusha tena makombora kwelekea Israel hii ni kumaanisha kuna uwezo umewapungukia.
japo vita vinaenda na propaganda ili kutengeneza hofu kwa mpinzani. team za propaganda lazma ziwe vizur.
Wataalama wa vita au majeshi saiv wanajua nani kashikwa pabaya
Bado upo wapi?Habari kutoka Israel 😄
Mimi Israel hata akiniambia tel Aviv hakuna mbu lazima nikahikishe mwenyewe mana ni waongo sijawahi kuona.
Hawakuiweza Central command ya Hamasi waiweze ya Hezbullah kweli vichaa peke ndio watamini hayo
We kaa una kula maembe pombe yatakusaidia.Bado upo wapi?
Command centre ya Hamas ilifutwa tangu Oktoba, 2023. Hamas kwa sasa hawawezi kukutana hata chooni kwa nusu saa, watatandikwa faster faster.
Hivi mpaka Sasa, Hamas imebakiza viongozi wangapi walio bado hai?
Joko limekutembele auHizbullah ni kama joka la Kibisa, linatosha kuchezea ngoma tu, mikwara kibao lakini hakuna kitu.
hi leo dogo kila siku toka umeongea Hamasi wanakusutasaivi HAMASI hawana CP pia hawana uwexo wa kurusha tena makombora kwelekea Israel hii ni kumaanisha kuna uwezo umewapungukia.
japo vita vinaenda na propaganda ili kutengeneza hofu kwa mpinzani. team za propaganda lazma ziwe vizur.
Wataalama wa vita au majeshi saiv wanajua nani kashikwa pabaya
hi leo dogo kila siku toka umeongea Hamasi wanakusuta
View: https://youtu.be/jFKdfWoMhVw?si=a8LrBZgxfHZ9ImRX
Hadi uambiwe na Mazinge eeeeeh?Habari kutoka Israel [emoji1]
Mimi Israel hata akiniambia tel Aviv hakuna mbu lazima nikahikishe mwenyewe mana ni waongo sijawahi kuona.
Hawakuiweza Central command ya Hamasi waiweze ya Hezbullah kweli vichaa peke ndio watamini hayo
Wanaume kazini lakini wanaomba suluhu