Ni kweli, nyongeza kwa wale ambao wajomba zao wapo mbali na mpwa wake shangazi pia anaweza kuwa mbadala. Njia nyingine ni hii.Tiba ya asili ambayo binafsi nilikuwa siiamini mwanzoni mpaka nilipofanya na kuona matokeo ni mjomba kula mate ya mpwa wake ili kumsaidia tatizo la kutokwa na udenda.
Chukua udenda wa mtoto anayetoka udenda kisha changanya kwenye chakula ,nyama ,tunda nk kisha mpe mjomba wa huyo mtoto ale , uhakika wa kupona mtoto huyo ni 100% na udenda unakata muda huo huo.
Ushuhuda ni mimi mwenyewe nilitibiwa kwa njia hiyo kipindi bado nipo mdogo na nimeshamsaidia mpwa wangu ambaye alikuwa na tatizo hilo.
Mkuu,
Umeoa/umeolewa kama haupo kwenye ndoa hii tiba itakusumbua matokeo yake, lakini kama utaitaji kuitumia kwa ajili hiyo ni sawa.
INAFAYAJE KAZI YAKUONGEZA HAMU YA TENDO LA NDOA.
Ukitumia hayo maji ya kitunguu huzalisha NITRIC OXIDE ambayo inafanya kusimamisha UUME kama msumari ndani siku 7,21 au iwe ni desturi yako hakika nakuambia mwili wako utakuwa unasisimka kwa haraka sana yani mke/mume...
Ndio uielezee sasa namna ya kutengeneza, nje ya hapo huu uzi haukuhusuNilikuwa na Ulcers sugu na nilitumia dawa ya kienyeji iliyoniponya moja kwa moja tangu mwaka 2008. Leo hii pia nimekuwa mtengenezaji wa hiyo dawa kwa ajili ya kutibu wengine.
Sema sasa ni dawa gani ulitumia ukapona sio kuleta porojo hapaHakuna sehemu niliyosema mtu aje pm. Maelezo niliyotoa yamejitosheleza. Ridhika na hilo.
kisukari mzambarao
Kwa nini?Asante sana.
Uenda kapata tiba ya tatizo Lake..Kwa nini?
Mkuuu vp unaendeleaje tatizo mim bado anapata suluhuinaandaliwa vipi hiyo dawa?
Kwa vipimo gani?
Na matumizi yake yapo vipi?
Mkuuu vp unaendeleaje tatizo mim bado anapata suluhu
Hii nimetumia kweli ni tibA nzuriMajani ya mpera yanatibu tumbo la kuharisha ndani ya siku moja
Kaka tunaomba uelezeebado hali ni mbaya mkuu
Magome unabandua unachemsha, glas 3 kwa siku hadi pale utakapohisi kiungulia mara kwa mara ni dalili au ishara ya kuondokewa na kisukari hivyo nenda hospitali kahakikishe kama tiba imefanya kazi,tumia ujuzi huu kuwatibu wengine pia.Unakula majani, mizizi au shina? Mibichi au unachemsha? Kwa wiki au mwezi? Glass moja au zaidi au pungufu?
Maandalizi na matumizi inakuwaje ?Matatizo ya nguvu za kiume dawa mizizi yamigomba na vitunguu saumu wiki tuuu matokeo 99%