Comment 1 kwa kina kuhusu Tiba ya Asili ya tatizo lolote, ambayo 100% unahakika nayo kwa shuhuda binafsi

Comment 1 kwa kina kuhusu Tiba ya Asili ya tatizo lolote, ambayo 100% unahakika nayo kwa shuhuda binafsi

Tiba ya asili ambayo binafsi nilikuwa siiamini mwanzoni mpaka nilipofanya na kuona matokeo ni mjomba kula mate ya mpwa wake ili kumsaidia tatizo la kutokwa na udenda.

Chukua udenda wa mtoto anayetoka udenda kisha changanya kwenye chakula ,nyama ,tunda nk kisha mpe mjomba wa huyo mtoto ale , uhakika wa kupona mtoto huyo ni 100% na udenda unakata muda huo huo.


Ushuhuda ni mimi mwenyewe nilitibiwa kwa njia hiyo kipindi bado nipo mdogo na nimeshamsaidia mpwa wangu ambaye alikuwa na tatizo hilo.
Ni kweli, nyongeza kwa wale ambao wajomba zao wapo mbali na mpwa wake shangazi pia anaweza kuwa mbadala. Njia nyingine ni hii.

CHUNGU CHA MOTO KAMA TIBA YA UDENDA KWA MTOTO MCHANGA.

Mtoto anapotimiza miezi 3 na zaidi hili tatizo linaanza
Chukua chungu cha udongo kiweke jikoni bila kitu chochote(kikiwa tupu),kiache jikoni kwa dk 30 au zaidi au pungufu kulingana na ukali wa moto.

Kikipata moto vizuri kiipue,weka chini mahali salama mchukue mtoto muinamishie kwenye chungu kabla hakijapoa,udenda ukidondokea kwenye chungu utakauka haraka sana kwa sababu ya chungu ni cha moto na mtoto udenda wake utakauka mdomoni atakuwa hatoi tena udenda.

NOTE: Fanya kwa uangalifu isiwe ni ajali ya maumivu kwa mtoto, usimuinamishie sana kiasi kwamba akapata jotojoto la mvuke wa chungu, kinachotakiwa ni udenda tu udondokee kwenye chungu cha moto.
 
Mkuu,
Umeoa/umeolewa kama haupo kwenye ndoa hii tiba itakusumbua matokeo yake, lakini kama utaitaji kuitumia kwa ajili hiyo ni sawa.

INAFAYAJE KAZI YAKUONGEZA HAMU YA TENDO LA NDOA.
Ukitumia hayo maji ya kitunguu huzalisha NITRIC OXIDE ambayo inafanya kusimamisha UUME kama msumari ndani siku 7,21 au iwe ni desturi yako hakika nakuambia mwili wako utakuwa unasisimka kwa haraka sana yani mke/mume...

Mkuu sasa matumizi unaweza hata kwa kula kibichi au mpaka pia uchemshe kama suala la mafua?
 
Ukiungua kwa uji, maji ya moto, kurukiwa na mafuta wakati unapika etc paka mafuta ya babycare. Maumivu yatakuwepo kwa masaa ila malegelege hayatatokea kabisa.
 
Unakula majani, mizizi au shina? Mibichi au unachemsha? Kwa wiki au mwezi? Glass moja au zaidi au pungufu?
Magome unabandua unachemsha, glas 3 kwa siku hadi pale utakapohisi kiungulia mara kwa mara ni dalili au ishara ya kuondokewa na kisukari hivyo nenda hospitali kahakikishe kama tiba imefanya kazi,tumia ujuzi huu kuwatibu wengine pia.
 
Kama una tatizo lololote la ngozi upele,mba,chunusi,mpauko na harara kula kabichi week unaikaanga bila kuchanganya na chochote zaidi ya kitunguu unakula ila kama waweza tafuna mbichi ni bora zaidi ndani ya week matokeo utayapata.

Angalizo chunga msije sababisha zikapanda bei
 
Back
Top Bottom